Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

Wazo la Kwanza: Kuanzisha Microfinance. Mtaji 1000000Tsh. Ila inahitajika hela kidogo kwa ajiri ya pango na kukata leseni.
Location sehemu yoyote yenye biashara ndogo ndogo.

No:2
Forex.
Investment amount: 500000 Tsh
Return: kwa wiki nakurudishia 50000 Tsh kama faida.

Risk ya kupoteza hela yote ni asilimia 40. Kama unataka evidence njoo PM.

No:3.
Tafuta watu mtaani au wakaribu yako, then chambua mawazo ya watu tofauti tofauti kuhusu biashara kwenye jukwaa hili then wape mtaji na uwasimamie. Hii nahisi itakua rahisi sana kuliko mtu kuja na idea then umlipe kwenye idea yake
Unapatikana wapi mkuu
 
Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=

Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji.

Na si kupewa mtaji ili akajiajiri, bali ataajiriwa na mwenye mtaji katika kulitekeleza lile wazo lake, huku yeye akiingia makubaliano ya kulipwa mshahara kwa mwezi.

Karibuni kwa mjadala.​
Forex tu hapo mkuu
 
Zipo nyingi mkuu moja wapo ya kufungua kijiwe cha kokoto nyeusi na kwa sasa ni biashara ambayo inatoka sana unaweza ukashusha mzigo wa 1mil na siku hiyo hiyo ukaisha na kwa kila mzigo unaoishia unafaida ya laki 3 hapo ni baada ya matumizi yote ila inahitaji uangalizi wa hali ya juu hasa kwenye kupakia mzigo shamba
 
Kwa mkoa upi?
 
1. Mradi wa Usambazaji Mayai ya Kienyeji na Kisasa hapa Kariakoo na Viunga vyake (wateja tayari ninao) kazi inafanyika

2. Ni kufungua Fresh mini Poetry farm kwa ajili ya kuuza Kuku, Kanga, bata, njiwa kwale na mayai yao
Hii nitaainisha maeneo ambayo nimefanya maombi kuendesha mradi huu.
Hawa ndege watakuwa wakiuzwa kwa ajili ya kufuga na chakula pia
Kuna Eneo Barabara ya Kuelekeea Uwanja wa Ndege, na Kuna eneo Ubungo(nafuatilia moja wapo)

Watu hapa Dsm wanahitaji sana kula vitu fresh hawaangalii gharama ila uwe na kitu Bora na Fresh kweli.

Mchanganuo wa Biashara utaanishwa endapo tutafikia hatua ya pili ya mazungumzo

Hapa Mkataba si mimi kuwa Mwajiriwa nilipwe kwa Mwezi, Hapana. Hapa unakuja kama Mwekezaji, Business Pertner au Mdhamini wa Biashara na Si Mwajiri.

Niko Kariakoo, mtaa wa Likoma na Magila
+255-767-11-222-1
Twitter @WorldChickenDsm
Kwa mfano hapo kwenye usambazaji wa mayai wewe unachohitaji ni nini haswa?, kama ni Mtaji na unasema Wateja unao tayari ndio kusema ulishaifanya hiyo kazi kabla?.
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

[emoji3513]0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima.
Hivi mimi Mteja natofautishaje asali ya Nyuki wakubwa na Wadogo?.
 
Kama una ujuzi wa kutengeneza video za katuni, njoo tupige kazi
Unahitaji Mtengenezaji wa michoro pekee au na Mtu wa kuandika script?.

Maana nijuavyo sio lazima Mtu mmoja akawa na taaluma hizi zote, kuna Muandaaji wa maudhui kupitia script kisha Mtengenezaji anachora Wahusika na vitendo (action) zao.
 
Wale wakutumia software kutengeneza na kuchezesha, baada ya kupewa script
 
Kwa mfano hapo kwenye usambazaji wa mayai wewe unachohitaji ni nini haswa?, kama ni Mtaji na unasema Wateja unao tayari ndio kusema ulishaifanya hiyo kazi kabla?.
Mpaka sasa naifanya bashara hii, ila imefika wakati shauku yangu niwe na uzalishaji mkubwa unaokidhi mahitaji halisi ya soko
 
Back
Top Bottom