Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Uzi kama huu ni mzuri ila wachangiaji kama vile hawapo, ila weka wa siasa au kuchakata mbususu uone watakavyojaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uzi kama huu ni mzuri ila wachangiaji kama vile hawapo, ila weka wa siasa au kuchakata mbususu uone watakavyojaa
kwani uongo mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ninalo njoo pmNina million tatu hapa nani anaweza kuwa na wazo zuri mwisho wa mwezi awe analeta laki 3
Unapatikana wapi mkuuWazo la Kwanza: Kuanzisha Microfinance. Mtaji 1000000Tsh. Ila inahitajika hela kidogo kwa ajiri ya pango na kukata leseni.
Location sehemu yoyote yenye biashara ndogo ndogo.
No:2
Forex.
Investment amount: 500000 Tsh
Return: kwa wiki nakurudishia 50000 Tsh kama faida.
Risk ya kupoteza hela yote ni asilimia 40. Kama unataka evidence njoo PM.
No:3.
Tafuta watu mtaani au wakaribu yako, then chambua mawazo ya watu tofauti tofauti kuhusu biashara kwenye jukwaa hili then wape mtaji na uwasimamie. Hii nahisi itakua rahisi sana kuliko mtu kuja na idea then umlipe kwenye idea yake
Ofiis iko wapi na inajihusisha na nini bossNimekujibu PM mkuu, taaarifa zote personal ntakua nikikujibia PM
Forex tu hapo mkuuTutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=
Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji.
Na si kupewa mtaji ili akajiajiri, bali ataajiriwa na mwenye mtaji katika kulitekeleza lile wazo lake, huku yeye akiingia makubaliano ya kulipwa mshahara kwa mwezi.
Karibuni kwa mjadala.
Forex ni biashara ya kubahatishaForex tu hapo mkuu
Haya sawaForex ni biashara ya kubahatisha
Kama una ujuzi wa kutengeneza video za katuni, njoo tupige kaziHaya sawa
Sijui mkuu me najua spear za magari, mambo ya mavazi na urembo wa nywele na kuchaKama una ujuzi wa kutengeneza video za katuni, njoo tupige kazi
Vitambaa vya jinsi na kadeti, naweza kupata wapi, na bei kwa mita ni kiasi gani?Sijui mkuu me najua spear za magari, mambo ya mavazi na urembo wa nywele na kucha
Zipo nyingi mkuu moja wapo ya kufungua kijiwe cha kokoto nyeusi na kwa sasa ni biashara ambayo inatoka sana unaweza ukashusha mzigo wa 1mil na siku hiyo hiyo ukaisha na kwa kila mzigo unaoishia unafaida ya laki 3 hapo ni baada ya matumizi yote ila inahitaji uangalizi wa hali ya juu hasa kwenye kupakia mzigo shambaTutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=
Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji.
Na si kupewa mtaji ili akajiajiri, bali ataajiriwa na mwenye mtaji katika kulitekeleza lile wazo lake, huku yeye akiingia makubaliano ya kulipwa mshahara kwa mwezi.
Karibuni kwa mjadala.
Kwa mkoa upi?Zipo nyingi mkuu moja wapo ya kufungua kijiwe cha kokoto nyeusi na kwa sasa ni biashara ambayo inatoka sana unaweza ukashusha mzigo wa 1mil na siku hiyo hiyo ukaisha na kwa kila mzigo unaoishia unafaida ya laki 3 hapo ni baada ya matumizi yote ila inahitaji uangalizi wa hali ya juu hasa kwenye kupakia mzigo shamba
Kwa mfano hapo kwenye usambazaji wa mayai wewe unachohitaji ni nini haswa?, kama ni Mtaji na unasema Wateja unao tayari ndio kusema ulishaifanya hiyo kazi kabla?.1. Mradi wa Usambazaji Mayai ya Kienyeji na Kisasa hapa Kariakoo na Viunga vyake (wateja tayari ninao) kazi inafanyika
2. Ni kufungua Fresh mini Poetry farm kwa ajili ya kuuza Kuku, Kanga, bata, njiwa kwale na mayai yao
Hii nitaainisha maeneo ambayo nimefanya maombi kuendesha mradi huu.
Hawa ndege watakuwa wakiuzwa kwa ajili ya kufuga na chakula pia
Kuna Eneo Barabara ya Kuelekeea Uwanja wa Ndege, na Kuna eneo Ubungo(nafuatilia moja wapo)
Watu hapa Dsm wanahitaji sana kula vitu fresh hawaangalii gharama ila uwe na kitu Bora na Fresh kweli.
Mchanganuo wa Biashara utaanishwa endapo tutafikia hatua ya pili ya mazungumzo
Hapa Mkataba si mimi kuwa Mwajiriwa nilipwe kwa Mwezi, Hapana. Hapa unakuja kama Mwekezaji, Business Pertner au Mdhamini wa Biashara na Si Mwajiri.
Niko Kariakoo, mtaa wa Likoma na Magila
+255-767-11-222-1
Twitter @WorldChickenDsm
Hivi mimi Mteja natofautishaje asali ya Nyuki wakubwa na Wadogo?.ASALI KUTOKA TABORA.
Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.
Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii
Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)
Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi
[emoji3513]0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora
[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima.
Unahitaji Mtengenezaji wa michoro pekee au na Mtu wa kuandika script?.Kama una ujuzi wa kutengeneza video za katuni, njoo tupige kazi
Nyuki wadogo asali yake inakuwa nyepesi na ni chachu; nyuki wakubwa inakuwa nzito na tamuHivi mimi Mteja natofautishaje asali ya Nyuki wakubwa na Wadogo?.
Wale wakutumia software kutengeneza na kuchezesha, baada ya kupewa scriptUnahitaji Mtengenezaji wa michoro pekee au na Mtu wa kuandika script?.
Maana nijuavyo sio lazima Mtu mmoja akawa na taaluma hizi zote, kuna Muandaaji wa maudhui kupitia script kisha Mtengenezaji anachora Wahusika na vitendo (action) zao.
Mpaka sasa naifanya bashara hii, ila imefika wakati shauku yangu niwe na uzalishaji mkubwa unaokidhi mahitaji halisi ya sokoKwa mfano hapo kwenye usambazaji wa mayai wewe unachohitaji ni nini haswa?, kama ni Mtaji na unasema Wateja unao tayari ndio kusema ulishaifanya hiyo kazi kabla?.