Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Weka wazo la biashara mkuuJamani mi kwanza naomba msaada kwanza maisha yamenikaba shingo.
hapa nilipo hata hela ya kula ni shida na niko mjini, nina mke na watoto wawili.
Wazo zuri linalipa mkuu
Nenda Sido ndo mwanzo wa kujiajiri kwani usiniulize utajiari vipi .Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=
Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji.
Na si kupewa mtaji ili akajiajiri, bali ataajiriwa na mwenye mtaji katika kulitekeleza lile wazo lake, huku yeye akiingia makubaliano ya kulipwa mshahara kwa mwezi.
Karibuni kwa mjadala.
nasubili wazoefuTutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=
Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji.
Na si kupewa mtaji ili akajiajiri, bali ataajiriwa na mwenye mtaji katika kulitekeleza lile wazo lake, huku yeye akiingia makubaliano ya kulipwa mshahara kwa mwezi.
Karibuni kwa mjadala.
Hawataki kuleta mawazonasubili wazoefu
Sasa anaetoa mtaji hapa ni nani mkuu ni wewe?Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=
Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji.
Na si kupewa mtaji ili akajiajiri, bali ataajiriwa na mwenye mtaji katika kulitekeleza lile wazo lake, huku yeye akiingia makubaliano ya kulipwa mshahara kwa mwezi.
Karibuni kwa mjadala.
Gharama ya leseni huwa ni kiasi ganiWazo la Kwanza: Kuanzisha Microfinance. Mtaji 1000000Tsh. Ila inahitajika hela kidogo kwa ajiri ya pango na kukata leseni.
Location sehemu yoyote yenye biashara ndogo ndogo.
Yeyote yule atakayevutiwa na wazoSasa anaetoa mtaji hapa ni nani mkuu ni wewe?
Kuna mjumbe amekuja na wazo la forex, lipime kama linafaaNina million tatu hapa nani anaweza kuwa na wazo zuri mwisho wa mwezi awe analeta laki 3
Yani 3m kwa mwezi unataka 300k means unataka hesabu ya 10k per day,sina hata haja ya kukwambia nitaifanyia nini,nipe mtaji huo mkuu nikupe hesabu yako kama unavyotaka either kwa mwezi kama unavyotaka au kwa sikuNina million tatu hapa nani anaweza kuwa na wazo zuri mwisho wa mwezi awe analeta laki 3