Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

Kwa mfano hapo kwenye usambazaji wa mayai wewe unachohitaji ni nini haswa?, kama ni Mtaji na unasema Wateja unao tayari ndio kusema ulishaifanya hiyo kazi kabla?.
Hivyo kinachohitajika sasa ni mtaji mkubwa ili kuanza kuwa wazalishaji kuliko nnavyokusanya toka kwa watu mbalimbali
 
Vitambaa vya jeans na cadet agiza nje....... unaweza chagua rangi pia na size ukashonewa huko huko.huku zinakuja zikiwa tayali
Sawa, ingawa wazo langu ni kuzitengenezea hapa; wakitengeneza huko nje, ni sawa na kufanya uchuuzi tu
 
Hivyo kinachohitajika sasa ni mtaji mkubwa ili kuanza kuwa wazalishaji kuliko nnavyokusanya toka kwa watu mbalimbali
Jaribu kuoanisha mtaji unaotakiwa, na uuvunje kwa vipande vya hisa, na ufuate taratibu zinazotakiwa, ili jamii iweze kuwekeza kwa mfumo wa hisa katika biashara yako
 
Sawa, ingawa wazo langu ni kuzitengenezea hapa; wakitengeneza huko nje, ni sawa na kufanya uchuuzi tu
SawA mim naweza sana kukwambia kuhusu nguo za kike namna ya kuzipata kwa bei ya jumla na tena na jinsi ya kuagiza....nguo za kiume pia naweza lkn sio sana kama za kike......Mimi ningekushauri kama unajua mtu ambae yupo katoro geita muulize bei ya kadet kwa jumla ni kias gani, alafu uliza na turkey na china alaf uliza na kariakoo
 
Geita zinaenda kwa bei gani?
 
Hii hata mm nimeikubali mdau.inafanyika sana maeneo gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nasubili wazoefu
Mi nipo tayari ila andaa 3M nakuingizia faida ya 3 laki kwa mwezi
 
Nahitaji kuwasiliana na wewe Kuna Mambo nataka tuongee kuhusu katoro nifungulie mlango PM au nipe namba boss
 
Kwa mtaji wowote ulionao,ila huna wazo la biashara.
Njoo na mtaji wako,mimi nitafanya biashara,na Kwa uzoefu wa biashara na fursa mbalimbali za ujasiriamali nilizonazo.Nina kuhakikishia nitakuwa nakupa faida ya 5% kila mwezi ya mtaji wako wowote utakaokuja nao.
Mtaji kianzio ni million tatu na kuendelea.
Hiyo faida ni ya kwako,mimi nitakuwa nimeshajilipa,na mtaji wako baada ya mkataba kuisha unachukua pesa yako uliyonipa kama mtaji.
Njoo pm.



Sent from my RMX3491 using JamiiForums mobile app
 
Kwa walioko Dar es salaam au mji wenye watu wengi tafuta benchi mbili tatu, chupa ndogo, vikombe vidogo, ndoo ya maji, beseni dogo, sabuni, jiko la mkaa, mkaa, tangawizi na kahawa pamoja na sukari. Usisahau redio.

Mtaji wake ni 60,000 mpaka 70,000.....
Hichi ni kijiwe cha kahawa na tangawizi.
 
Redio ni bure na chupa unanunua shingap ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…