Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

Je nikitaka kutumia gari ambayo usajili wake sio commercial inawezekanaje
 
Nilisikia kampuni ya WATU mteja wao akikaribia kumaliza mkataba au deni lake wanafanya namna ya kumwibia mteja wao pikipiki na ukienda kutoa taarifa wanachelewa kurespond kuitruck ilipo kwasababu hizi pikipiko zao wanafunga GPS.

Kingine kinachofanya watu wengi waamini kwamba mchezo huo unachezwa kampuni yenyewe ni kwamba hawaruhusu mtu aliyechukua pikipiki kwao kwa mkopo kuweka GPS yake.

Je,kuna ukweli wowote hapa? Maana najua wewe umekuja lutangaza biashara yako ya pikipiki
 
Vipi kwa mtu asiyeijua mitaa ya mjini anaweza kufanyaje.
 
Kuna feature hawajaiweka na mimi ningependa iwepo sasa sijui wanapita humu nipendekeze au napoteza muda wangu
 
Vipi kama nina gari yangu nataka kuifanya uber/bolt ila nimtafute dereva nimkabidhi aniletee mahesabu (yaani siendeshi mwenyewe), Italipa?
 
Iwepo option ya kumlipia mtu aliye mbali mfano niko Magomeni naagiza Bolt imchukue mwanafunzi Mbezi shule imlete Magomeni
Inawezekana hujawahi kutumia bolt...! Hilo swala lipo
 
Akili za kuambiwa changanya na zako...nimesha chukua pikipiki zaidi ya 5 watu credits na zote nimezitumia Hadi mkataba umeisha...Kuna jamaa zangu nawajua wamechukua pikipiki watu...na hakuna hata mmoja alie ibiwa pikipiki...!

Wizi wa pikipiki upo ukiwa mzembe au wakikuotea... kampuni ya watu ukiacha kuwa riba yao ni kubwa kidogo ila wapo smart sana ni kampuni ambayo naweza Nika ire commend kwa ndugu zangu Yani naipa more than 5 🌟 🌟 🌟 🌟 🌟​
 
Wanataka kianzio cha pesa ili wakupe pikipiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…