Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #101
Niliwah kuleta nyuzi huko nyuma ,utizame.mim naomba unifundishe namna ya kukuza nywrle kwa njia ya asili na vitu vya kuchanganya viwe cheap
Hio apo juu mpendwa,Hina na mayai,huu mwaka wa tatu natumia,nywele zang zinakua kwa kasi na nyingi na hazitokiPlus zisikatike please Arabian queen
hapa umemaanisha vitunguu swaumu?Tiba ya chunusi
.vitunguu thomu
Visage mpk viwe laini then upake sehem ya chunus ulale nayo usk kucha.
Matokea ndan ya siku tatu inategemea na wingi wa chunus.
Allergic skin,usitumie, acha.
Pata muonekano ya kung'aa (fair skin tone)
Mahitaji
Namna ya kuandaa na matumizi
- Unga wa maganda ya machungwa
- yoghurt.
kausha maganda yako ya machungwa juani mpk yakauke alaf saga upate huo unga wa machungwa.
changanya unga wa machungwa na huo mtindi upate ujazo sawia.
osha uso uwe msafi,pakaa huo mchanganyiko usoni ,wacha mpk ikauke then osha.
Hii remedy inasaidia kutakatisha uso ,unapata mngao flani,pia inatoa madoa,unga wa machungwa inacontain vitamin C ambayo husaidia kutakatisha ngozi.
tumia kila baada ya siku mbili.
matokeo utayaona baada ya kutumia zaid ya mara tatu
vitamin C kwenye jua la asubuhi ndio unaipata nyingiVitamin C ni water soluble nutrient ambayo sidhani kwenye maganda makavu ya machungwa utaikuta ya kutosha. Kama unataka vitamini c mbaya gani ukitumia huo huo ukwaju, unga wa ubuyu, maji ya limau au machungwa n.k? Naomba kufahamu.
vitamin C kwenye jua la asubuhi ndio unaipata nyingi
uvumbuz wa 2017may na mtafiti makini kwa kuwa jua hili la sasa linachanyika na mvua mvua na mawingu kiasi so D-1=C ila kama unataka D subir mvua zikate.Tenaa!!!!!!!!!
Siyo D tena mkuu? Hii ya vitamini C kwenye jua la asubuhi ni uvumbuzi wa lini tena?
uvumbuz wa 2017may na mtafiti makini kwa kuwa jua hili la sasa linachanyika na mvua mvua na mawingu kiasi so D-1=C ila kama unataka D subir mvua zikate.
Source:Extra Science Usingizi unachangia Pia Lol..Naomba source yako kiongozi.
Mzaha tu wew fanya mambo mengine Product yangu ili expire since 1996Naomba references zako kiongozi, zinazovumbua kwamba jua likichanganyika na mvua na mawingu linatengeneza vitamini c.
Ujue unaharibu quality ya product yako? Unapoongea masuala ya kisayansi, ni vyema ukaweka scientific evidences kwa kuwa kuna watu wengi wanapenda kujifunza. Kama unafanya mizaha, niambie tu nifanye mambo mengine.
Mzaha tu wew fanya mambo mengine Product yangu ili expire since 1996
napenda ufurahi kama hivyo uengeze siku za kuishi ,ulale unono nawe piaH ahahahaaaaaaaaaaaa!. Sawa kiongozi!. Usiku mwema.
Mkuu nenda Syria,Libya na Yemen wamejaa wanatafuta waume ili waondoke katika Matatizo.Changamkia fursaMi namtafuta mchumba wa kiarabu nioe
Hii ni nzuri sana kwakweli Ngozi inapendezaNamna ya kutengeneza dawa ya chunusi nyumbani.
mahitaji
Namna ya kuandaa na kutumia
- Asali vijiko vitatu
- mdalasini kijiko kimoja
changanya asali na mdalasini,mpk vichanganyike.
osha uso wako vizuri pakaa usk wacha kwa dakika 20 alaf osha kwa maji.
Au
pakaa usiku sehem ambayo zinachunusi ,lala nayo usku ,ukiamka asbuh osha uso wako vizuri.
Hii husaidia kukausha chunus ,ni vizuri zaid ukatumia usk ukapakaa sehem ilokua na chunus then ukalala nayo.
Matokeo utayaona three days after use.
Kama Unaumuka bora uache labda una allergy, najua huwa inawasha tu kiasiYaan nimeumuka suraaaa, sijui Ndo tibaaaa, ngoja nisubirie
Hahahhaaaaa jamanuvumbuz wa 2017may na mtafiti makini kwa kuwa jua hili la sasa linachanyika na mvua mvua na mawingu kiasi so D-1=C ila kama unataka D subir mvua zikate.
uyo mbuzi usha mchinjaHahahhaaaaa jaman