Njoo ujue urembo asilia na Arabian Queen

Njoo ujue urembo asilia na Arabian Queen

mim naomba unifundishe namna ya kukuza nywrle kwa njia ya asili na vitu vya kuchanganya viwe cheap
Niliwah kuleta nyuzi huko nyuma ,utizame.

Hinna na mayai na maji kdg,paka ktk kichwa wacha masaa manne then osha .tumia Kila baada ya siku nne.

Fanya massage ya kichwa upake na mafuta kwa dakika tano Kila siku kabla ya kulala
 
Tiba ya chunusi

.vitunguu thomu

Visage mpk viwe laini then upake sehem ya chunus ulale nayo usk kucha.
Matokea ndan ya siku tatu inategemea na wingi wa chunus.
Allergic skin,usitumie, acha.
hapa umemaanisha vitunguu swaumu?
 
mkuu hivi kuna madhara ukioaka ukwaku na asali kama bleach ?yaan imebadilisha ngozi yangu completely, imekuwa nyororo na yenye mng'ao mzuri hadi ninajipenda saana.watu wananiuliza natumia nini ,nami dichoki kuwaekekeza.

hofu yangu ni kutaka kyjua kama ina madhara ,ukipaka kila siku.

yaan ngozi imekywa na afya hata ukipaka makeup inakaa,hata usipoaka.yaan nimekuwa na ngozi kama ya mtoto mdogo.ubarikiwe na usichoke kutufundisha tiba nyingine.
 
mamaaaaaaaaa ukisikia juice ya cream ndio mm mama alinambiaga ukiacha ice cream ntakupa juice Cream sasa ndio hii asante dada, mama hakuninunulia hiyo juice ila wew umenifundisha ntatengeza ninywe siumesema ni asali,mdala sini na ukwaju eeeeeh sitosahau.
 
Pata muonekano ya kung'aa (fair skin tone)

Mahitaji
  1. Unga wa maganda ya machungwa
  2. yoghurt.
Namna ya kuandaa na matumizi

kausha maganda yako ya machungwa juani mpk yakauke alaf saga upate huo unga wa machungwa.
changanya unga wa machungwa na huo mtindi upate ujazo sawia.
osha uso uwe msafi,pakaa huo mchanganyiko usoni ,wacha mpk ikauke then osha.

Hii remedy inasaidia kutakatisha uso ,unapata mngao flani,pia inatoa madoa,unga wa machungwa inacontain vitamin C ambayo husaidia kutakatisha ngozi.

tumia kila baada ya siku mbili.
matokeo utayaona baada ya kutumia zaid ya mara tatu

Vitamin C ni water soluble nutrient ambayo sidhani kwenye maganda makavu ya machungwa utaikuta ya kutosha. Kama unataka vitamini c mbaya gani ukitumia huo huo ukwaju, unga wa ubuyu, maji ya limau au machungwa n.k? Naomba kufahamu.
 
vitamin C kwenye jua la asubuhi ndio unaipata nyingi
 
Tenaa!!!!!!!!!

Siyo D tena mkuu? Hii ya vitamini C kwenye jua la asubuhi ni uvumbuzi wa lini tena?
uvumbuz wa 2017may na mtafiti makini kwa kuwa jua hili la sasa linachanyika na mvua mvua na mawingu kiasi so D-1=C ila kama unataka D subir mvua zikate.
 
uvumbuz wa 2017may na mtafiti makini kwa kuwa jua hili la sasa linachanyika na mvua mvua na mawingu kiasi so D-1=C ila kama unataka D subir mvua zikate.

Naomba references zako kiongozi, zinazovumbua kwamba jua likichanganyika na mvua na mawingu linatengeneza vitamini c.

Ujue unaharibu quality ya product yako? Unapoongea masuala ya kisayansi, ni vyema ukaweka scientific evidences kwa kuwa kuna watu wengi wanapenda kujifunza. Kama unafanya mizaha, niambie tu nifanye mambo mengine.
 
Mzaha tu wew fanya mambo mengine Product yangu ili expire since 1996
 
Namna ya kutengeneza dawa ya chunusi nyumbani.

mahitaji
  1. Asali vijiko vitatu
  2. mdalasini kijiko kimoja
Namna ya kuandaa na kutumia
changanya asali na mdalasini,mpk vichanganyike.
osha uso wako vizuri pakaa usk wacha kwa dakika 20 alaf osha kwa maji.
Au
pakaa usiku sehem ambayo zinachunusi ,lala nayo usku ,ukiamka asbuh osha uso wako vizuri.

Hii husaidia kukausha chunus ,ni vizuri zaid ukatumia usk ukapakaa sehem ilokua na chunus then ukalala nayo.

Matokeo utayaona three days after use.
Hii ni nzuri sana kwakweli Ngozi inapendeza
 
Back
Top Bottom