Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #101
Niliwah kuleta nyuzi huko nyuma ,utizame.mim naomba unifundishe namna ya kukuza nywrle kwa njia ya asili na vitu vya kuchanganya viwe cheap
Hinna na mayai na maji kdg,paka ktk kichwa wacha masaa manne then osha .tumia Kila baada ya siku nne.
Fanya massage ya kichwa upake na mafuta kwa dakika tano Kila siku kabla ya kulala