Njoo utoe stress zako kistaarabu kwa anaekukera humu JF.

Ah aha aha aha ha.... Huu Uzi utatuweka huru na kututibu stress.
 
Mie nimejikuta simpend mtu anayewasema vby masingle mamaz...lakini huyo huyo kwenye baadhi ya nyuz anamuapriciate mazake zaidi kuliko mdingi...huwa nashangaa sana..(wanaume wengi sana hasa hapa tz mama zao ndo wamehustle kuwalea..lakini akija huku anawaponda s8ngle mama)shame on u


Na wale wanaoshobokea ccm km wamekatwa vichwa!
1.Elitwege
 
@Elitwege nae katajwa sana humu atakuwa mzigo saana huyu.
 
Kweli single mothers wanastahili heshima sana wanapitia mengi sana hadi kuwakuza watoto wao.
Kuna mama huwa anauza kakibanda juani huku watoto wake wamepumzika kwenye mtaro huku wakisulubiwa na jua la Dar. Kama huu sio ushujaa wa single mama labda mimi sijui maana ya ushujaa.
Respect single mothers. They got balls.
 
Natamani niwataje hata kwa majina mxiiiiuuu
 
Natamani niwataje hata kwa majina mxiiiiuuu

[quote uid=441762 name="mosabiy" post=32135632]
Issue yako ni chuki dhidi ya yake na dini yake.
[/QUOTE]
Huyo anaejiita Dripboy ni "typical" punguani wa zao la "single mother", si unaona jinsi asivyo na adabu katika maandiko yake humu?

Huyo ni wale watoto ambao kila mwanamme anaeingia kwao anaambiwa "mwamkie baba'ko". Mwishowe wanadhani kila mtu anaweza kuwa baba wa yeyote.

Afanaalek kufa hakuna break.
 
Huyo anaejiita Dripboy ni "typical" punguani wa zao la "single mother", si unaona jinsi asivyo na adabu katika maandiko yake humu?

Huyo ni wale watoto ambao kila mwanamme anaeingia kwao anaambiwa "mwamkie baba'ko". Mwishowe wanadhani kila mtu anaweza kuwa baba wa yeyote.

Afanaalek kufa hakuna break.[/QUOTE]Poor you. Kama ulizaliwa na kulelewa na wazazi wote wawili mshukuru Mungu
 
Poor you. Kama ulizaliwa na kulelewa na wazazi wote wawili mshukuru Mungu[/QUOTE].
Sielewi kwanini baadhi ya sisi wanaume hatuwaheshimu single mothers.. I don't get it.
Sifurahishwi na wanaume wasiopenda single mothers.
 
Poor you. Kama ulizaliwa na kulelewa na wazazi wote wawili mshukuru Mungu[/QUOTE]Mbona kama unaniambia mimi, akati hapo nimecopy comment ya FaizaFoxy akimtukana Dripboy
 
Hata kuna wanawake pia wanaodharau single mothers, angalia hiyo comment niliom-quote Khantwe ... Huyu bibi anajifanya anajua dini, lakini kazi kutukana mama za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…