Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Umenena vizuri Sana mkuuMi naona haya ya kabila hili wapo vipi na wale wapo vipi ni masuala ya kizamani, nyie weusi mnabaguana nyie kwa nyie kwanini waarabu ,wazungu nawahindi wasiwabague mwishowe mnaanza kulia mnabaguliwa....
Haa mambo ya makabila na tabia ni zilipendwa kipindi hicho wazee wetu wanakulia vijijini wanakuja mjini kutafuta maisha, katika ile kujichanganya wanakutana na watu wenye tabia tofauti tofauti wametoka nazo vijijini...
Hivi sasa vijana hawa wa mjini anakuambia mchaga au mkurya lakini hana tabia hizo...
We kama umempenda oa tu.. jamii hivi sasa imeelimika na jamii nyingi zinaishi kwa pamoja...
Asije kusema hatujamwambia! Ni kweli ni warembo, wanapenda sifa lakini hawana garaantii kabisa! Ukitaka kudumu naoHumu watu watakurushia vitisho mpaka ushangae.
Kama mmpendana na mchumba wako anakidhi vigezo vyako wewe oa tu mengine utayajua mbele ya safari
99% ya pisi za kichaga na kipare nilizopita nazo zina haka katabia! Aargh!!!Na akiwa hajisikii mapenzi yeye usimguse had atake yeye
Wanawake wa kichaga. Wajanja sana.Asije kusema hatujamwambia! Ni kweli ni warembo, wanapenda sifa lakini hawana garaantii kabisa! Ukitaka kudumu nao
Uwe na hizi sifa kuu mbili
1. Uwe na pesa au cheo (maana wanapenda misifa)
2. Uwe kama mjinga mjinga ( Hapo ndipo stress zimejificha)
Yaani binti kimarangu leo anaweza asiwe anayajua hayo, lakini shangazi zake wakamharibu na makundi yao ya kinamama! Ataona ndo life style kwahiyo tabia asili lazima tu itamtafuna
Sio mbaya unaweza kuweka ndani at your own risk ila huo upande wapare number one Kisha wachaga wa rombo na marangu the rest no comme
Atakuwa Kaolea Tarafa au Wilaya siyo wachoyo kabisaBasi kaoe Mbulu au Mrangi.
Naona umeingia kwenye mtego kwa kuhukumu mtu kwa kuangalia ukanda badala ya personalities zake. Angalia usije ukapoteza mtu anayekufaa kwa kuangalia mambo ya ukanda. Kila la kheriUPDATES:
Wakuu wa Habari na Hoja Mchanganyiko nawashukuru sana kwa michango yenu ya kimawazo.
Nimefarijika sana kupokea maoni na mitazamo ya wengi juu ya hawa wanawake wa kaskazini na dhana ya ndoa kwa ujumla.
Kila mmoja wenu amechangia kwa mitazamo tofauti tofauti.
Binafsi nimefanya maamuzi ya kutokuja kuoa mwanamke yeyote kutokea huko kaskazini, hii ni kutokana na kuwa zaidi ya 80% ya wasichana niliowahi kuingia nao kwenye mahusiano ni kutokea huo ukanda wa Moshi na Arusha so nina experience nao kubwa ingawa sio kwenye level ya ndoa ndio maana nikaja kuomba ushauri. nikiri tu kuwa tabia zao hata kwenye mahusiano sio nzuri japo kwa upande wangu hazikua na tatizo kwangu maana nilikua huru kufanya maamuzi.
Staki Kuwa Kama Kenge kusubiri Nione Damu Ndo Nisikie, Asanteni sana!🙏
Mchakato wa Kutafuta Mchumba Mwingine Unaanza Rasmi
Staki kutumia hisia kwenye hili suala la kuoa mkuu.Naona umeingia kwenye mtego kwa kuhukumu mtu kwa kuangalia ukanda badala ya personalities zake. Angalia usije ukapoteza mtu anayekufaa kwa kuangalia mambo ya ukanda. Kila la kheri
Wa mbulu sijui ila mrangi ukimpata shukuru wanawake Wana misimamo sana hao nadhani ni kutokana na kushika sana dini si unamuona Faiza FoxyAtakuwa Kaolea Tarafa au Wilaya siyo wachoyo kabisa
Hamna kt hapo, mbena? UnqwajuaUkikosa kuoa kabila lako Basi jitahidi uoe msukuma aliyesoma, mbena au mmarangu, ukikosa katika hayo usinilaumu.
Lakini eti umeoa mluguru, mndamba, mnyakyusa , mkwere au muha unategemea nini
Ni mawazo ya kibaguzi tu, kabila ndio kt gani, tabia ni mtu binafsi ht vutabuUmepanga kuoa kanda au msichana unayempenda?
Kila mwanadamu ana tabia,hulka,mapenzi, muonekano, harufu tafauti na mwingine yoyote kama zilivyo fingerprints. Never ever generalise ila tegemea majibu tofauti kwani kila mja ana experience tofauti either direct yamemkuta(mazuri au mabaya) au yamemkuta mtu wake wa karibu plus unproven hearsay nazo ni nyingi sana.
We lengo lako ni kuwasema vibaya hao wanawake wa kaskazini. We ni bwege kwl kaoe huko kwenu. Dunia ya leo unabagua wananchi wa nchi yako kutokana na sehemu alikotokea? Ur just rubbish. Tabia ni ya mtu siyo kabila wala ukanda.UPDATES:
Wakuu wa Habari na Hoja Mchanganyiko nawashukuru sana kwa michango yenu ya kimawazo.
Nimefarijika sana kupokea maoni na mitazamo ya wengi juu ya hawa wanawake wa kaskazini na dhana ya ndoa kwa ujumla.
Kila mmoja wenu amechangia kwa mitazamo tofauti tofauti.
Binafsi nimefanya maamuzi ya kutokuja kuoa mwanamke yeyote kutokea huko kaskazini, hii ni kutokana na kuwa zaidi ya 80% ya wasichana niliowahi kuingia nao kwenye mahusiano ni kutokea huo ukanda wa Moshi na Arusha so nina experience nao kubwa ingawa sio kwenye level ya ndoa ndio maana nikaja kuomba ushauri. nikiri tu kuwa tabia zao hata kwenye mahusiano sio nzuri japo kwa upande wangu hazikua na tatizo kwangu maana nilikua huru kufanya maamuzi.
Staki Kuwa Kama Kenge kusubiri Nione Damu Ndo Nisikie, Asanteni sana!🙏
Mchakato wa Kutafuta Mchumba Mwingine Unaanza Rasmi
Uliza Mafuru kwa nini kafa kwa ugonjwa wa moyo, na pia muulize Jaji Warioba kwa nini hajajenga kwao, ila kajenga majengo ya kifahari kilimanjaro, halafu malizia na Mkapa(rip).Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
AsanteHamna kt hapo, mbena? Unqwajua
Ni mawazo ya kibaguzi tu, kabila ndio kt gani, tabia ni mtu binafsi ht vutabu
We lengo lako ni kuwasema vibaya hao wanawake wa kaskazini. We ni bwege kwl kaoe huko kwenu. Dunia ya leo unabagua wananchi wa nchi yako kutokana na sehemu alikotokea? Ur just rubbish. Tabia ni ya mtu siyo kabila wala ukanda.
Usije ukaachana na mtu anayekufaa kwa kusikiliza opinions za watu, maana wewe ndio unayemfahamu mwenzio vyema kuliko sisi.Staki kutumia hisia kwenye hili suala la kuoa mkuu.
Ni muda tu nilikua nafikiria kufanya ivo ila nilikua tu sijapata justification ya maamuzi yangu
Asante
Mbona inasikika wanawake wa kipare ni wahuni wa kupitiliza, bahili, wachoyo na wabinafsi sana?Sio mbaya unaweza kuweka ndani at your own risk ila huo upande wapare number one Kisha wachaga wa rombo na marangu the rest no comment
With vivid examples!Uliza Mafuru kwa nini kafa kwa ugonjwa wa moyo, na pia muulize Jaji Warioba kwa nini hajajenga kwao, ila kajenga majengo ya kifahari kilimanjaro, halafu malizia na Mkapa(rip).
Kwenye msiba wa Mafuru wachaga walijaa kuliko wa Mara. Sasa subiri sakata la mirathi uone, wale wazazi wa Mafuru watapata mgao kwa kuwa kwa mujibu wa sheria lazima wapa
Ikitokea una kipato kisicho halali wanakuwaje?Marangu hawana shida Kama unakipato halali. Ni wacha Mungu wazuri, Wana maumbo mazuri Ni wasafi na elimu wanayo. Tatizo lao miguu tu.