Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Umenena vizuri Sana mkuuMi naona haya ya kabila hili wapo vipi na wale wapo vipi ni masuala ya kizamani, nyie weusi mnabaguana nyie kwa nyie kwanini waarabu ,wazungu nawahindi wasiwabague mwishowe mnaanza kulia mnabaguliwa....
Haa mambo ya makabila na tabia ni zilipendwa kipindi hicho wazee wetu wanakulia vijijini wanakuja mjini kutafuta maisha, katika ile kujichanganya wanakutana na watu wenye tabia tofauti tofauti wametoka nazo vijijini...
Hivi sasa vijana hawa wa mjini anakuambia mchaga au mkurya lakini hana tabia hizo...
We kama umempenda oa tu.. jamii hivi sasa imeelimika na jamii nyingi zinaishi kwa pamoja...