othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
R.I.P in advance mkuuUghonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Mi i dont care, kikubwa nipate watoto wenye akili, mama yao awe mlezi bora, mrembo n.k ukabila na udini i dont care....
Kusidia familia yake ni sawa tu..
Massive disability ndio kitu gani mkuuMy advice chunguza familia kwanza, if mama ana power na sauti sana kuliko mzee, that how atataka awe na ww kwenye ndoa
Familia anayotoka mke kama ina massive distability hiyo ni major red flag
😂😂😂 SEMA nilichokuja kugundua hii Tanzania ukioa Mchagga unaheshimika sana
Siwasemi kwa ubaya ila Wasambaa ni wachafu sana, utofauti wao na wasukuma ni ushamba tu
Big brain anko, dua 🙏
Ndio KKKTWapo wasambaa wakristo?
Mwanamke mwenye roho ya ujasiri kuchinja kitimoto au mbuzi huyo hapana...
Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Hili sijichanganyi wapare 🙌🙌🙌🙌salute kwao ni wife sana tungekuwa jirani ningekuonesha jirani yanguThubutuuu.
Jichanganye .
Kama Wachaga Hawa wa kuzaliwa dar OA.
Hivi wanawake wakisambaa si wametulia tu?Ndio KKKT
Hivi wanawake wakisambaa si wametulia tu?
Ni yapi mapungufu yao?Kwa wastani ni watulivu
nilshaghairi ilo suala mkuu saiv wadada wa iyo kanda wapo kwenye list yangu ya mabinti naowapotezea tu muda ikiwa nipo/ntaingia nao kwenye mahusiano. yaani ni red flags hadi kwenye mshusianoMkuu, ukisikiliza maoni ya watu wengi utapotea, Unae oa ni wewe, utakaeishi na mwanamke ni wewe, so unanafasi ya kumchunguza kwa vinavyochunguzika na ukiona anafaa Muoe, ukiona hafai usimuoe,
Usikubali kama una mashaka au umeona kasoro yoyote kwake, itakutesa maisha yako yote. Maamuzi ya kuoa yapo mikononi mwako Mwaisa.
NB: kuna ukweli wa tabia za makibila, kuna wanao ua waume zao, kuna wanao roga/limbwata waume zao, kuna wakina mandonga wanao piga waume zao, kuna ambao ni wasaliti yaan kuchepuka ni kawaida, Yote hayo yapo kwenye ndoa. Kwahiyo ukiingia be ready for unexpected, Maandiko yanasema "ishinae kwa akili" hakikisha una m manage kwenye kila nyanja. Ukifeli tu mahali, apo anapata mwanya wa kufanya hayo NB words bila hofu.
Chaliiangu fika kwanza ARUSHA na Moshi ufanye utafiti kwanini Walio Wengi ni Wa mama na Vibibi lakini Wababa na Vibabu hakuna Fanya tafitiUghonile..