Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
R.I.P in advance mkuu
 
Ni ma wife material, alafu wako sharp sana kwenye kusaka pesa sio ma Goalkeeper
Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
 
Kwisha
20250207_111934.jpg
 
Kama Wachaga Hawa wa kuzaliwa dar OA.

Nyuma Yao huwa wako mama zao ambao wamezaliwa na kukulia uchangani.
Hao ndio stelingi
Wa ndoa za watoto wao siku zote .
Wanawambia usikubali hivi na vile, Fanya hivi kuwakomesha ndugu wa mume na wazazi wasikanyage hapo.
Fanya hivi asisaidie wapwa wala wadogo zake kuwalipia ada n.k
 
Mkuu, ukisikiliza maoni ya watu wengi utapotea, Unae oa ni wewe, utakaeishi na mwanamke ni wewe, so unanafasi ya kumchunguza kwa vinavyochunguzika na ukiona anafaa Muoe, ukiona hafai usimuoe,

Usikubali kama una mashaka au umeona kasoro yoyote kwake, itakutesa maisha yako yote. Maamuzi ya kuoa yapo mikononi mwako Mwaisa.

NB: kuna ukweli wa tabia za makibila, kuna wanao ua waume zao, kuna wanao roga/limbwata waume zao, kuna wakina mandonga wanao piga waume zao, kuna ambao ni wasaliti yaan kuchepuka ni kawaida, Yote hayo yapo kwenye ndoa. Kwahiyo ukiingia be ready for unexpected, Maandiko yanasema "ishinae kwa akili" hakikisha una m manage kwenye kila nyanja. Ukifeli tu mahali, apo anapata mwanya wa kufanya hayo NB words bila hofu.
 
nilshaghairi ilo suala mkuu saiv wadada wa iyo kanda wapo kwenye list yangu ya mabinti naowapotezea tu muda ikiwa nipo/ntaingia nao kwenye mahusiano. yaani ni red flags hadi kwenye mshusiano

shukran
 
Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
Chaliiangu fika kwanza ARUSHA na Moshi ufanye utafiti kwanini Walio Wengi ni Wa mama na Vibibi lakini Wababa na Vibabu hakuna Fanya tafiti
 
Back
Top Bottom