Mkuu, ukisikiliza maoni ya watu wengi utapotea, Unae oa ni wewe, utakaeishi na mwanamke ni wewe, so unanafasi ya kumchunguza kwa vinavyochunguzika na ukiona anafaa Muoe, ukiona hafai usimuoe,
Usikubali kama una mashaka au umeona kasoro yoyote kwake, itakutesa maisha yako yote. Maamuzi ya kuoa yapo mikononi mwako Mwaisa.
NB: kuna ukweli wa tabia za makibila, kuna wanao ua waume zao, kuna wanao roga/limbwata waume zao, kuna wakina mandonga wanao piga waume zao, kuna ambao ni wasaliti yaan kuchepuka ni kawaida, Yote hayo yapo kwenye ndoa. Kwahiyo ukiingia be ready for unexpected, Maandiko yanasema "ishinae kwa akili" hakikisha una m manage kwenye kila nyanja. Ukifeli tu mahali, apo anapata mwanya wa kufanya hayo NB words bila hofu.