Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Wakati wa kumdinya unamuona mzuri ukifika wakati wa kumtwaa unaanza kuleta visingizio
 
Leo ni mwezi Novemba ndoa ni Juni mwakani? Na ukute mna miaka 2+ kwenye ucbumba. Yaani huo mda wote mnakuwa mnapanga namna ya kuoana kiaje yaani? Uchumba mwingine ni majaribu tu. Miezi sita inatosha kuonana na binti, kukubaliana na kuoa. Muda ukiwa mwingi ni lawama mnataftiana tu
 
Miezi sita ni kwa mzembe .... ..Mwanaume mwenye akili zinazofanya kazi ni miezi mitatu tu or less
 
Wewe unaoa wakaskazini wote au mmarangu mmoja,jiandae tutakuuwa wewe ukishapata mfanikio 🀣🀣🀣🀣alfu kama unawasiwasi unaoa ili nini sasa....sijui nilikuwa nataka kusema nini πŸ™„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe unaoa wakaskazini wote au mmarangu mmoja,jiandae tutakuuwa wewe ukishapata mfanikio 🀣🀣🀣🀣alfu kama unawasiwasi unaoa ili nini sasa....sijui nilikuwa nataka kusema nini πŸ™„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wasiwasi ndo akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…