King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Oa mwanamke anayejiheshimu kutoka kabila lolote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante,Una shida mahali...wanawake wa kuoa wamejaa tela, pengine wewe sii mtu sahihi
Wakati wa kumdinya unamuona mzuri ukifika wakati wa kumtwaa unaanza kuleta visingizioUghonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Huezi kuoa unaowadinya wote mkuuWakati wa kumdinya unamuona mzuri ukifika wakati wa kumtwaa unaanza kuleta visingizio
sawaUkikosa kuoa kabila lako
MmmhBasi jitahidi uoe msukuma aliyesoma, mbena au mmarangu,
ila kweli hapo nakuunga mguu ooh no ni mkono.ukikosa katika hayo usinilaumu.
Lakini eti umeoa mluguru, mndamba, mnyakyusa , mkwere au muha unategemea nini
Wachaga na wameru wako vzr kwenye uchumi.Kama umemuona anakufaaa muweke ndani na uhakika utatoboa kimaisha hamna mchaga mzembe kichwani
Inasemekana wabahili Sanaa 😊 atakua anampikia MAKANDE daily 🏃🏃🏃Kama ni mpare weka ndani faster huyo ni mke
Miezi sita ni kwa mzembe .... ..Mwanaume mwenye akili zinazofanya kazi ni miezi mitatu tu or lessLeo ni mwezi Novemba ndoa ni Juni mwakani? Na ukute mna miaka 2+ kwenye ucbumba. Yaani huo mda wote mnakuwa mnapanga namna ya kuoana kiaje yaani? Uchumba mwingine ni majaribu tu. Miezi sita inatosha kuonana na binti, kukubaliana na kuoa. Muda ukiwa mwingi ni lawama mnataftiana tu
Hizi ni individual problems sio za woteInasemekana wabahili Sanaa 😊 atakua anampikia MAKANDE daily 🏃🏃🏃
Sawa mkuu nimekuelewaHizi ni individual problems sio za wote
Mbona miguu umekataza wenzio wasiweke kipaumbele?🤣
Unapoelekea utasema kikubwa awe anapumua tu...
Sema sifa ya mke pekee kuwa ni k mi hapana...
Miguu unakwenda kuchemsha supu ya kongoro?Mbona miguu umekataza wenzio wasiweke kipaumbele?
Wewe unaoa wakaskazini wote au mmarangu mmoja,jiandae tutakuuwa wewe ukishapata mfanikio 🤣🤣🤣🤣alfu kama unawasiwasi unaoa ili nini sasa....sijui nilikuwa nataka kusema nini 🙄😂😂😂Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Hata mwanaume akiwa na miguu mizuri anavutia...vidole virefu na kucha ndefu(siyo za kufugwa)Miguu unakwenda kuchemsha supu ya kongoro?
Wasiwasi ndo akiliWewe unaoa wakaskazini wote au mmarangu mmoja,jiandae tutakuuwa wewe ukishapata mfanikio 🤣🤣🤣🤣alfu kama unawasiwasi unaoa ili nini sasa....sijui nilikuwa nataka kusema nini 🙄😂😂😂
Ingia ukapambane na yote kama wenzio wanavyopambana.... hakuna kitu rahisi dunianWasiwasi ndo akili
What was the problem?Kuna kaka yangu mmoja alioa mpare ila alichokutana nacho kilipelekea sisi vijana wengine kupigwa stop kuoa tena kwenye ilo kabila.
Asante