Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Kama ni mmachame/mmeru achana nae.. kama wewe sio kabila lake au hauna experience ya watu wa huko.
 
Kiufupi kipindi Bro yupo hai mwanamke alikua anatoroka anaenda kufanya umaid kwenye Bar anakaa mpaka muda ataojisikia yeye kurudi Nyumbani. Alivofariki mke aliuza kila kitu alichoachiwa na bro akaondoka na watoto kwenda kuolewa na mwanaume mwingine.
Safi sana, kazi ya shetani iyo.
 
Duh, na kidhungu tena....
Mbona hatari sasa, au ndo msisitizo....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…