princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Kilichokuvutia kuoa ndo hiko hiko kishikilie mpaka mwisho....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni timu kataa ndoa.Basi kaoe Mbulu au Mrangi.
Nenda kaoe kule mapenzi yalipozaliwa ila usiogope kurogwaDuh kwa tz hii tuoe wapi mkuu maana umeongeza na mkurya hapo
Nikiangalia hapo umebakisha kusini na Kanda ya kati ambapo Nako watu wanalia
Kilimanjaro, Chagga.Hio wapi Kilimanjaro moja? Chagga & Pare originality
Yah warangi nao ni wife sanaBasi kaoe Mbulu au Mrangi.
Tanga hiyoNenda kaoe kule mapenzi yalipozaliwa ila usiogope kurogwa
Kifuatacho ni usuluhishi wa hapa na pale km unajijua wewe sio Mzee wa ngumi mkononi chonde chonde usije ukathubutuUkienda kwenye kumbi za harusi 90% ya ndoa ni wao je waoaji hawana macho!?La hasha!wameona kitu
Miguu ina nini?
Wasambaa & WabondeiTanga hiyo
Kwa Tanga nasikia kama sio msambaa usioe japo sijathibitisha ila nasikia wasambaa wanadumu sana
Unachoogea ni point mkuu ila lisemwalo lipo, mfano ukiambiwa wasukuma ni wachafu kiasilia au wanyaturu ni malaya usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania ni waoga basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine. Hata warusi na waitaliano wote ni wazungu ila wanatofautiana sana.Mi naona haya ya kabila hili wapo vipi na wale wapo vipi ni masuala ya kizamani, nyie weusi mnabaguana nyie kwa nyie kwanini waarabu ,wazungu nawahindi wasiwabague mwishowe mnaanza kulia mnabaguliwa....
Haa mambo ya makabila na tabia ni zilipendwa kipindi hicho wazee wetu wanakulia vijijini wanakuja mjini kutafuta maisha, katika ile kujichanganya wanakutana na watu wenye tabia tofauti tofauti wametoka nazo vijijini...
Hivi sasa vijana hawa wa mjini anakuambia mchaga au mkurya lakini hana tabia hizo...
We kama umempenda oa tu.. jamii hivi sasa imeelimika na jamii nyingi zinaishi kwa pamoja...
Mila na desturi hua zinaenda kizazi mpaka kizazi hazifi, nina imani nimekujibu vizuriKabila linahusiana VP na tabia ya mtu binafsi?
Uhusiano ni mkubwa sanaKuwa wife material ni sifa za mtu binafsi hazihusiani na kabila
Japo Kuna baadhi Wana Mila na tamaduni ndo uzifikirie
Kumbe mkuu una kichwa chepesi sanaUnachoogea ni point mkuu ila lisemwalo lipo, mfano ukiambiwa wasukuma ni wachafu kiasilia au wanyaturu ni malaya usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania ni waoga basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine. Hata warusi na waitaliano wote ni wazungu ila wanatofautiana sana.
Mnawaonea wivu tu...wanasema ipo kama spoku na inavigimbi kwa sababu ya vilima huko marangu sijui ni kweli
Tulikutana kwenye eneo langu la biashara na hana chembe ya izo tabiakama mmekutana bar,club,guests house,Facebook au tiktok inakula kwako mazima.
Pia kama anajichubua,ana nywele bandia kimbia haraka huyo ni mpalestina.
Ndo lengo langu namba moja mwakani, insha'Allah 🙏Bado huna nia ya kuoa