Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Mi naona haya ya kabila hili wapo vipi na wale wapo vipi ni masuala ya kizamani, nyie weusi mnabaguana nyie kwa nyie kwanini waarabu ,wazungu nawahindi wasiwabague mwishowe mnaanza kulia mnabaguliwa....

Haa mambo ya makabila na tabia ni zilipendwa kipindi hicho wazee wetu wanakulia vijijini wanakuja mjini kutafuta maisha, katika ile kujichanganya wanakutana na watu wenye tabia tofauti tofauti wametoka nazo vijijini...

Hivi sasa vijana hawa wa mjini anakuambia mchaga au mkurya lakini hana tabia hizo...

We kama umempenda oa tu.. jamii hivi sasa imeelimika na jamii nyingi zinaishi kwa pamoja...
Unachoogea ni point mkuu ila lisemwalo lipo, mfano ukiambiwa wasukuma ni wachafu kiasilia au wanyaturu ni malaya usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania ni waoga basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine. Hata warusi na waitaliano wote ni wazungu ila wanatofautiana sana.
 
Kumbe mkuu una kichwa chepesi sana
 
Back
Top Bottom