MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
- Thread starter
- #81
Ni kweli princess ila wanaume hatutumiagi hisia linapokuja suala la kuoaKilichokuvutia kuoa ndo hiko hiko kishikilie mpaka mwisho....
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli princess ila wanaume hatutumiagi hisia linapokuja suala la kuoaKilichokuvutia kuoa ndo hiko hiko kishikilie mpaka mwisho....
Siwasemi kwa ubaya ila Wasambaa ni wachafu sana, utofauti wao na wasukuma ni ushamba tuTanga hiyo
Kwa Tanga nasikia kama sio msambaa usioe japo sijathibitisha ila nasikia wasambaa wanadumu sana
Una miaka mingapi kabla hatujakujibu tafadhaliKabila linahusiana VP na tabia ya mtu binafsi?
Hapo kwenye baadhi ndo uzi ulipojikita.Kuwa wife material ni sifa za mtu binafsi hazihusiani na kabila
Japo Kuna baadhi Wana Mila na tamaduni ndo uzifikirie
Sio kwamba ni suala la malezi..Unachoogea ni point mkuu ila lisemwalo lipo, mfano ukiambiwa wasukuma ni wachafu kiasilia au wanyaturu ni malaya usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania ni waoga basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine. Hata warusi na waitaliano wote ni wazungu ila wanatofautiana sana.
Na hawataki ujingaMarangu hawana shida Kama unakipato halali. Ni wacha Mungu wazuri, Wana maumbo mazuri Ni wasafi na elimu wanayo. Tatizo lao miguu tu.
Mhh wapare number 1....mhh,,,,,,bora ajibebee mchaga tu ,huko upareni labda awe kajipanga vizuri kiasiliSio mbaya unaweza kuweka ndani at your own risk ila huo upande wapare number one Kisha wachaga wa rombo na marangu the rest no comment
Una muda gani upo naye kwenye mahusianoTulikutana kwenye eneo langu la biashara na hana chembe ya izo tabia
Asante
Dogo, mbwa akipigiwa miluzi kutoka pande mbalimbali kwa wakati mmoja hupoteza uelekeo.Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Kikubwa msitusue maishani.......mkitusua umeisha......watoto na mali vitahamia kaskaziniUghonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Asante mkuu 🙏Kama bado unajitafuta kiuchumi unatafuta pressure na msongo wa mawazo bure. Naongea kwa experience.
Kama uko financially stable wewe oa tu mwanamke kutoka huko
Nenda kwenye ile baa ya pale Marangumtoni utapata jibu maana wameweka sanamu ya jimama la kimarangu.Miguu ina nini?
Mimi nimekulia kijijini mkuu, pamoja na kuwa ni msomi ila nina elements nyingi za wahenga.Sio kwamba ni suala la malezi..
Wazee wengi chunguza , hata rafiki za mzee wako au baba za rafiki yako au babu zako, wakikutana na mtu watauliza we kwenu ni wapi? Wakiwa na nia ya kufahamu kabila, baada ya kufahamu kabila wanaweza fahamu huyo mtu ana tabia zipi... Au ukisema jina tu, anakuambia we ni mtu wa sehemu flani...
Hawa wazee katika ujana wao pia walikuwa wakionana na wenzao katika migahawa wanaulizana we ni kabila gani?
Lakini sisi wa leo, tukutane hata bar siwezi anza kuuliza mtu kabila lake...
Wengi tumekulia mjini...
Hata vijijini hivi sasa wanaishi kama mijini tu...
Mwaka wa pili sasaUna muda gani upo naye kwenye mahusiano
🙏🙏🙏🙏Dogo, mbwa akipigiwa miluzi kutoka pande mbalimbali kwa wakati mmoja hupoteza uelekeo.
Sasa kuja kupata ushauri hapa kwa mambo hayo, walimwengu watakupotosha na utashindwa ufauate ushauri upi.
Maelewano katika mapenzi ama katika ndoa, hayana kabila, dini, rangi wala elimu.
Kama umempenda kwa dhati, na hasa hicho ndicho sifa ya kwanza, muoe utaexperience tabia na hulka zake pamoja na kurekebishana mkiwa pamoja.
Ndiyo maana katika kufunga ndoa, hupewa cheti cha kuhitimu kwanza kabla ya masomo, maana yake huhesabika kuwa umefaulu, utaenda kujionea mwenyewe.
Hii ya kusema kifungo cha maisha cha hiari sijui nini ni uongo, akikuletea za kuleta, ndoa inavunjwa hata kwa kanisa katoliki siku hizi, mradi kuwe na vigezo vilivyojitosheleza.
Kwa huo muda nadhani ushamsoma Yuko vipi aidha anafaa/hafai na kitu kingine ni vingi utaelezwa kwenye jukwaa lakini mwamuzi wa mwisho ni wewe...broMwaka wa pili sasa
Kwa msukuma hapo ndo penyewe sasaUkikosa kuoa kabila lako Basi jitahidi uoe msukuma aliyesoma, mbena au mmarangu, ukikosa katika hayo usinilaumu.
Lakini eti umeoa mluguru, mndamba, mnyakyusa , mkwere au muha unategemea nini
Una shida mahali...wanawake wa kuoa wamejaa tela, pengine wewe sii mtu sahihiUghonile..