Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Tanga hiyo
Kwa Tanga nasikia kama sio msambaa usioe japo sijathibitisha ila nasikia wasambaa wanadumu sana
Siwasemi kwa ubaya ila Wasambaa ni wachafu sana, utofauti wao na wasukuma ni ushamba tu
 
Unachoogea ni point mkuu ila lisemwalo lipo, mfano ukiambiwa wasukuma ni wachafu kiasilia au wanyaturu ni malaya usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania ni waoga basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine. Hata warusi na waitaliano wote ni wazungu ila wanatofautiana sana.
Sio kwamba ni suala la malezi..
Wazee wengi chunguza , hata rafiki za mzee wako au baba za rafiki yako au babu zako, wakikutana na mtu watauliza we kwenu ni wapi? Wakiwa na nia ya kufahamu kabila, baada ya kufahamu kabila wanaweza fahamu huyo mtu ana tabia zipi... Au ukisema jina tu, anakuambia we ni mtu wa sehemu flani...

Hawa wazee katika ujana wao pia walikuwa wakionana na wenzao katika migahawa wanaulizana we ni kabila gani?

Lakini sisi wa leo, tukutane hata bar siwezi anza kuuliza mtu kabila lake...

Wengi tumekulia mjini...
Hata vijijini hivi sasa wanaishi kama mijini tu...
 
Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
Dogo, mbwa akipigiwa miluzi kutoka pande mbalimbali kwa wakati mmoja hupoteza uelekeo.

Sasa kuja kupata ushauri hapa kwa mambo hayo, walimwengu watakupotosha na utashindwa ufauate ushauri upi.

Maelewano katika mapenzi ama katika ndoa, hayana kabila, dini, rangi wala elimu.

Kama umempenda kwa dhati, na hasa hicho ndicho sifa ya kwanza, muoe utaexperience tabia na hulka zake pamoja na kurekebishana mkiwa pamoja.

Ndiyo maana katika kufunga ndoa, hupewa cheti cha kuhitimu kwanza kabla ya masomo, maana yake huhesabika kuwa umefaulu, utaenda kujionea mwenyewe.

Hii ya kusema kifungo cha maisha cha hiari sijui nini ni uongo, akikuletea za kuleta, ndoa inavunjwa hata kwa kanisa katoliki siku hizi, mradi kuwe na vigezo vilivyojitosheleza.
 
Kikubwa msitusue maishani.......mkitusua umeisha......watoto na mali vitahamia kaskazini
 
Kama bado unajitafuta kiuchumi unatafuta pressure na msongo wa mawazo bure. Naongea kwa experience.
Kama uko financially stable wewe oa tu mwanamke kutoka huko
Asante mkuu 🙏

Nimewahi kupractice mahakamani kidogo, kuna pedeshee mmoja alioa huko baada ya miezi 6 mke akaja kudai talaka na mgawanyo wa pesa ndo maana napatwa na kigugumizi kiasi cha kuja kufungua uzi kabla sijajiingiza mwenyewe kwenye ilo gereza huru
 
Sio kwamba ni suala la malezi..
Wazee wengi chunguza , hata rafiki za mzee wako au baba za rafiki yako au babu zako, wakikutana na mtu watauliza we kwenu ni wapi? Wakiwa na nia ya kufahamu kabila, baada ya kufahamu kabila wanaweza fahamu huyo mtu ana tabia zipi... Au ukisema jina tu, anakuambia we ni mtu wa sehemu flani...

Hawa wazee katika ujana wao pia walikuwa wakionana na wenzao katika migahawa wanaulizana we ni kabila gani?

Lakini sisi wa leo, tukutane hata bar siwezi anza kuuliza mtu kabila lake...

Wengi tumekulia mjini...
Hata vijijini hivi sasa wanaishi kama mijini tu...
Mimi nimekulia kijijini mkuu, pamoja na kuwa ni msomi ila nina elements nyingi za wahenga.
 
Dogo, mbwa akipigiwa miluzi kutoka pande mbalimbali kwa wakati mmoja hupoteza uelekeo.

Sasa kuja kupata ushauri hapa kwa mambo hayo, walimwengu watakupotosha na utashindwa ufauate ushauri upi.

Maelewano katika mapenzi ama katika ndoa, hayana kabila, dini, rangi wala elimu.

Kama umempenda kwa dhati, na hasa hicho ndicho sifa ya kwanza, muoe utaexperience tabia na hulka zake pamoja na kurekebishana mkiwa pamoja.

Ndiyo maana katika kufunga ndoa, hupewa cheti cha kuhitimu kwanza kabla ya masomo, maana yake huhesabika kuwa umefaulu, utaenda kujionea mwenyewe.

Hii ya kusema kifungo cha maisha cha hiari sijui nini ni uongo, akikuletea za kuleta, ndoa inavunjwa hata kwa kanisa katoliki siku hizi, mradi kuwe na vigezo vilivyojitosheleza.
🙏🙏🙏🙏
 
Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
Una shida mahali...wanawake wa kuoa wamejaa tela, pengine wewe sii mtu sahihi
 
Back
Top Bottom