Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
wanafaa sana mie pia nimeoa mke mmoja huko
 
Suala la kuchagua mke/mume sahihi ni mtihani wa mlengwa/mnufaika pekee, wengine tunabahatisha tu. hata hivyo maoni ya wadau kuhusu general character za jamii fulani yasipuuzwe, lakini usizyaamini kabisa kabisa, chukulia comments zao kama kigezo cha ku test hypothesis kuhusu ukweli wa sifa za mtu unayetaka kumuoa/kuolewa naye.

Wewe mwenyewe unapaswa kufanya utafiti na kujiridhisha pasipo shaka kuhusu mhusika na haswa kama katika imani yako ndoa haivunjiki kirahisi. Kupitia utafiti wako utajua kiasi cha upendo alionao kwako na utajua kama mtamu/mzuri au laa. Hivi ni vigezo vya msingi zaidi, vingine vyote ziada. Ukioa mwanamke ambaye akupendi au wewe mwenywe umethibitisha siyo mzuri/mtamu na haumtamani, imekula kwako mazima hata kama anaakili zaidi ya Isack Newton. Kupitia utafiti wako utajua uaminifu wake kwako, utajua kiasi cha ukatili au utu alichonacho, utajua kama anaweza kukua au kukutunza, utajua anaweza kulea watoto au laa, utajua kama anaweza kukupa fulahaa au laa., utajua anaweza kuipenda jamii yako au laa. Hili ni msalaba wako mwenyewe, wewe tu ndio utakuwa na majibu. ukipata majibu utafanya maamuzi wewe mwenywe.

Note; Nivigumu sana kwa mtu ambaye upeo wake upo chini zaidi ya mwenza wake kuujua udhaifu wa mwenza ambaye ana IQ kubwa zaidi yake. Hivyo kumtambua mke bora sometimes inategemea na IQ mwanaume dhidi ya mke
 
Madini mengi Sana mkuu, shukran 🙏
 
Mapenzi ya hao watu hayana garantii muda wowote kinanuka! Hakikisha usiyumbe kiuchumi na usimkosee hata kosa dogo tu ili muishi kwa amani!
 
Marangu hawana shida Kama unakipato halali. Ni wacha Mungu wazuri, Wana maumbo mazuri Ni wasafi na elimu wanayo. Tatizo lao miguu tu.
Wamarangu hawana tatizo.

Ila wanapenda vitu vizuri vizuri.

Ni watu wa matumizi. Hivyo unapaswa kuwa loaded mwanamke wa marangu atulie.
 
Ila ukioa mmarangu aliyekuzidi kipato jiandae kutumwa dukani na mashemeji, kua mpole ukifika Marangu na kuchuna mbuzi na ng'ombe wstakaochinjwa kwa ajili ya Xmas.
 
Wamarangu hawana tatizo.

Ila wanapenda vitu vizuri vizuri.

Ni watu wa matumizi. Hivyo unapaswa kuwa loaded mwanamke wa marangu atulie.
Umepita mulemule mkuu, huyu mchumba ananicost sana ingawa namudu izo gharama ila kuna muda huwa nafikiria what if mambo yangu ya uchumi yakaenda mrama huko kwenye ndoa maana kesho zetu hazitabiriki, atakuepo kwa ajili yangu kweli?
 
Apo ni kamzozo.!!
Sitoweza
Ila mwanzoni mapenzi yao ni matamu kinoma wanajua kumteka mwanaume kwa kumtii mwanzoni, sauti nzuri, kujali sana, akili na ushauri mzuri, pia huwa wanataka sana kujua kipato chako, kazi yako kwa mbinu nyingi sana, wakishajua wanakukadiria majukumu kulingana na kipato chako!

Yote huko unaweza kuvuka lakini yote tisa jiandae kuwa mtu wa kujitetea sana maana hawana dogo, ukimkosea mnaweza nuniana muda wowote na hawaoni shida, ikifikia hatua hiyo ndipo utawaekewa vizuri kwamba ulikurupuka!

Mwanzo wao huwa ni mzuri lakini mwisho wao huwa unaumiza sana kuliko wanawake wengine!
Tofauti yao kubwa na makabila mengine hawana huruma kabisa linapokuja suala la ugomvi ni vita kabisa, wapo tayali hata kutafta na wakili kuendesha kesi!

Narudia tena HAWANA GARANTII ya kukupa mapenzi ya uhakika!
Ukitaka kuwezana nao uwe na pesa au cheo pia uwe ni mtu wa safari yaani ukikaa nae sana isizidi wiki unasafiri unamwacha! Unakaa huko mpaka tena baadae!

Hayo msisha ni magumu ingawa jamii itaona kama unapendwa lakini ndani ni maumivu tu! Na akiwa hajisikii mapenzi yeye usimguse had atake yeye
 
Future is uncertainty, everything is unknown and unknowable.
Everything is about trading we're just betting our future but we aren't sure with it since anything can happen between.

An event can be extremely likely to happen and still not happen and an even can be extremely unlikely to happen and still happen.
But we bet where we've a high probability odds staked to our favor.
None and I say none can see the future only creator who knows when we gonna die and everything that will happen in between.
Because of our ego and reason we love to create narration to feed our ego that we can foresee the future
I conquer with you brother
 
Ila mwanzoni mapenzi yao ni matamu kinoma wanajua kumteka mwanaume kwa kumtii mwanzoni, sauti nzuri, kujali sana, akili na ushauri mzuri, pia huwa wanataka sana kujua kipato chako, kazi yako kwa mbinu nyingi sana, wakishajua wanakukadiria majukumu kulingana na kipato chako!

Yote huko unaweza kuvuka lakini yote tisa jiandae kuwa mtu wa kujitetea sana maana hawana dogo, ukimkosea mnaweza nuniana muda wowote na hawaoni shida, ikifikia hatua hiyo ndipo utawaekewa vizuri kwamba ulikurupuka!

Mwanzo wao huwa ni mzuri lakini mwisho wao huwa unaumiza sana kuliko wanawake wengine!
Tofauti yao kubwa na makabila mengine hawana huruma kabisa linapokuja suala la ugomvi ni vita kabisa, wapo tayali hata kutafta na wakili kuendesha kesi!

Narudia tena HAWANA GARANTII ya kukupa mapenzi ya uhakika!
Ukitaka kuwezana nao uwe na pesa au cheo pia uwe ni mtu wa safari yaani ukikaa nae sana isizidi wiki unasafiri unamwacha! Unakaa huko mpaka tena baadae!

Hayo msisha ni magumu ingawa jamii itaona kama unapendwa lakini ndani ni maumivu tu! Na akiwa hajisikii mapenzi yeye usimguse had atake yeye
Inatosha mkuu, kiufupi sitoweza 🙏

Asante
 
Duh! Aisee 🤔
 
Umepita mulemule mkuu, huyu mchumba ananicost sana ingawa namudu izo gharama ila kuna muda huwa nafikiria what if mambo yangu ya uchumi yakaenda mrama huko kwenye ndoa maana kesho zetu hazitabiriki, atakuepo kwa ajili yangu kweli?
Nawafahamu vizuri sana hao. Ni wazuri kwakweli. Nilishamiliki chombo kadhaa za kimarangu. Ni watu wa matumizi sana.

Kama umeamua kuwa nae, hakikisha muda wote uchumi unakuwa mzuri.
 
Back
Top Bottom