Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
Ni wife material ila ni wababe sana mwanaume kupigwa ni kawaida sana inabidi uzoee kama unajua hauna nguvu za kupigana usimchokoze maana utadundwa ipasavyo pia kabla ya kuoa angalia wazazi wake wawe wawe wamestaarabika wasiwe wazazi wahuni wahuni au wenye heka heka pia angalia kaka zawe wasiwe ni wadudu.

Nb.. Mmeru , mbulu usioe.. angalau oa mchaga ila uwe mwanaume. Machame usiguse
 
Oa Usitucheleweshe Maendeleo

Maendeleo Hayana Chama
 
mahsiano ni kama mtaala wa sasa wa elimu ya Tanzania,yaani competency based syllabus,zamani ilvyokua content based syllabus ulikua unauwezo wa kuotea maswali kupitia past papers na waalimu mbalimbali mahiri,ila kwasasa inabidi wewe learner ndo uwe knowledgeable,namaanisha kwamba wanawake|wanaume are not predictable according to their zonal or tribe. wee ukiingia kwenye mahusiano utahandle it according to your competency on it.
 
two diferent concepts amico mio, mapenzi yana dunia yake yenyewe tofauti
 
taf
We kama unataka ufe mapema endelea, wa kaskazini watadeal na wa kaskazini wenzao kama ni kutwangana bastola kama ilivyokuwa kwa Ufo saro
tafuta hela,wanapenda hela na mali, ukishapata hela na mali unamwachia vyote mwenyewe
 
kwahiyo unaamini kuna mwongo wa kuishi na watu kutoka a na ukanda wao? mbona maisha yangekua simple sana
not really but actually utavoishi na mtu kutoka kanda ya kaskazini ni tofauti kabisa na utavodeal na mtu wa kanda ya kusini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapalestina ni Machame Mangi.... Marangu ni wapenda maisha mazuri yaani hela na Umalaya ndio kwao.... Akina Jackline Wolper hao
Wolper mmachame
 
not really but actually utavoishi na mtu kutoka kanda ya kaskazini ni tofauti kabisa na utavodeal na mtu wa kanda ya kusini
tanzania tuna wanawake wa aina mbili tuu:
1. waliopitiwa na mwaarabu...hawanapenda mapenzi na hawana makuu
2. waliopitiwa na mwingereza...hawa hawapendi sana mapenzi, wanapenda pesa na mali
angalizo: usi generalize
 
toa ilo angalizo then utakua umejijibu
 
Kilimanjaro NI sehemu Bora ya kujenga familia na mwenza kutoka huko asilimia kubwa walishastaarabika na maisha ya kisasa ya utafutaji na ubepari wamekulia na kuyaendekeza imegeuka desturi yao..(kinachoniboa NI sherehe za kufukarisha na tafrija za ulevi kupita kiasi)..sijui Shep sijui Nini mengi NI uongo pay a visit ujipnee sura na Shep au vyuoni linganisha Shep tabia na life style kwa makabila au ukazi wa wanapotoka mabinti utatambua wapi NI Bora kuliko wapi...hulka yao ya kujitegemea kwa kazi imepunguza tegemezi wa kuuza k kujipatia kipato...njoo kwa sisi wengine Sasa...familia Kama sio Bora na inamiradi inayowaweka bize mabinti...wanaishi kwa kutegemea rungu...no money no sex...malengo peleka huko...hata kioa haina mahari hakuna kuoa....NI Mara chache mwanamke huko kwetu kuweka mkate mezani hata ukiumwa baba sukari imeisha...utaletewa rundo la wasio na haya nduguze (hao kila siku wanataniwa unaishi kwa shemeji asilimia kubwa sio kutoka kaskaz)
 
tanzania tuna wanawake wa aina mbili tuu:
1. waliopitiwa na mwaarabu...hawanapenda mapenzi na hawana makuu
2. waliopitiwa na mwingereza...hawa hawapendi sana mapenzi, wanapenda pesa na mali
angalizo: usi generalize
#1 walishaenda kipindi cha Uhuru 1947 huko wengi wameshajifia kitambo sana

#2 ndio waliobakia mpaka sasa
 
Kilimanjaro NI sehemu Bora ya kujenga familia na mwenza kutoka huko asilimia kubwa walishastaarabika na maisha ya kisasa ya utafutaji na ubepari wamekulia na kuyaendekeza imegeuka desturi yao..(kinachoniboa NI sherehe za kufukarisha na tafrija za ulevi kupita kiasi)..sijui Shep sijui Nini mengi NI uongo pay a visit ujipnee sura na Shep au vyuoni linganisha Shep tabia na life style kwa makabila au ukazi wa wanapotoka mabinti utatambua wapi NI Bora kuliko wapi...hulka yao ya kujitegemea kwa kazi imepunguza tegemezi wa kuuza k kujipatia kipato...njoo kwa sisi wengine Sasa...familia Kama sio Bora na inamiradi inayowaweka bize mabinti...wanaishi kwa kutegemea rungu...no money no sex...malengo peleka huko...hata kioa haina mahari hakuna kuoa....NI Mara chache mwanamke huko kwetu kuweka mkate mezani hata ukiumwa baba sukari imeisha...utaletewa rundo la wasio na haya nduguze (hao kila siku wanataniwa unaishi kwa shemeji asilimia kubwa sio kutoka kaskaz)
umeongea kiutu uzima na kwa experience pia lakini nafikiri mzani wao wa mema umeelemewa na mzani wa mabaya kulingana na wachangiaji wengi humu jukwaani. siku zote lisemwalo lipo, puuzia at your own risk
 
Ni wife material ila ni wababe sana mwanaume kupigwa ni kawaida sana inabidi uzoee kama unajua hauna nguvu za kupigana usimchokoze maana utadundwa ipasavyo pia kabla ya kuoa angalia wazazi wake wawe wawe wamestaarabika wasiwe wazazi wahuni wahuni au wenye heka heka pia angalia kaka zawe wasiwe ni wadudu.

Nb.. Mmeru , mbulu usioe.. angalau oa mchaga ila uwe mwanaume. Machame usiguse

Kwa hiyo anataka awe bwashe a.k.a shemela wa wadudu

😀 😂😛
 
Back
Top Bottom