Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ni wife material ila ni wababe sana mwanaume kupigwa ni kawaida sana inabidi uzoee kama unajua hauna nguvu za kupigana usimchokoze maana utadundwa ipasavyo pia kabla ya kuoa angalia wazazi wake wawe wawe wamestaarabika wasiwe wazazi wahuni wahuni au wenye heka heka pia angalia kaka zawe wasiwe ni wadudu.Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Nb.. Mmeru , mbulu usioe.. angalau oa mchaga ila uwe mwanaume. Machame usiguse