Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

Watakuwa wana bifu la mapenzi, misiba tunachangisha, Malisa anachangisha watu kwenda kwenye matibabu mara kwa mara hatujaona akikamatwa
 
Mitanzania mizezeta inaamuka tu huko inajiona yenyewe ndio inauchungu kuliko Serikali yenye watu.
Vitu basic kama hivyo mtu hajui.Huyo ilitakiwa awekwe ndani hata miezi 6 iwe fundisho.
 
Michango iliyochangwa kule Bukoba ilipelekwa wapi?
 
Kwenye sheria wametafsiri. Jambo lolote, natural au man made linaloweza kuleta madhara na kusababisha disruption na ambalo linazidi uwezo wa mamlaka za chini kutatua
Maafa mengine hata mamlaka za juu zinashindwa kutatua,mfano Tetemeki,mafuriko, milima kungoka!
 
https://www.pmo.go.tz/uploads/docum... USIMAMIZI WA MAAFA Na. 6 YA MWAKA, 2022..pdf

Ajavunja sheria kwa (mujibu wa sheria ya maafa), mtu au taasisi yeyote anaruhusiwa kukusanya michango. Sema hawana ruhusa ya kukabidhi wenyewe wanatakiwa wakabidhi kwa wahusika (serikali) wanao simamia zoezi zima la aftermath.

Nadhani busara itumike intention za Niffer sidhani kama zilikuwa mbaya, sema ignorance. Serikali ilitakiwa kumueleleza cha kufanya badala ya kumkamata.

Najua kumuacha Niffer pia ni kama kufungulia ‘Pandora Box’ ya wenye nia ovu nao kushiriki. Ila nadhani Niffer kama Star anawafuasi na anajulikana enough to give her the ‘benefit of the doubt’ on her intentions.
 
Huenda unatoa mwongozo mzuri kwa hawa watoto waliozaliwa nje ya ndoa na kukua vyovyote
 
WaTz hata hamuelewi, nimesoma comment za baadhi ya watu humu mitandaoni yaani waTz hebu tuache upuuzi na tuelewe sheria[emoji34]

eti wengine mnahoji eti mbona harusi sjui msiba au sherehe tunachanga? iweje hili wakataze?

ngoja niongelee hili la kawaida nisiende serikali issues.

1- hivi kuna michango unayoletewa bila mpangilio au kibali? sizungumzii kibali cha serikali. Kama ni mchango wa harusi, kikao cha kamati hukaa na kuandaa utaratibu michango ikusanywe kwa namna gani. Atachaguliwa mtu , iwe mwenyekiti au katibu kwa ajili.ya kupokea na kuhakiki michango, after that wakae tena kama kikao kuletewa taarifa ya michango iliokusanywa, majina ya waliochangia, kilichopelea nk, then wanapanga maandalizi yote from the exactly total amount iliopatikana. Sjui.sasacwatachagua ukumbi, mziki, chakula, vinyaj nk, BUT KILA KITU KILIENDA KWA RECORD.

Haya huyo binti, alikua na account gani? ambayo inahakikiwa? na nani? nani atahakikisha imepatikana kiasi gani? kifanyiwe nini? au kiwasilishwe wapi? - just auditing

before litiliwe mashaka jambo lake hadi PM alipoongelea na yeye kujifanya sasa kwenda vodacom na tigo wamprintie transaction list sababu ameshaona janga, bila kubumburuka angetoa hio list? kwa nani? je angeonesha whole list na amount received na imetumikaje?

mf tu. Ana followers 1.7M, kila followet akachanga Tsh 100 tu, angekua na smount.kubwa sana. Je nani angehakiki hiko alichokikusanya kupitia janga ambalo limeumiza watu zaidi ya yeye kutumia kama fursa ya kujipatia kinyume na sheria kwa kiwaibia watu kwa kusema ni msaada?

hivi serikali ikisema iruhusu huu utaratibu wa kijinga wa watu kuchangisha kwenye majanga mskubwa ya kitaifa itakuaje? si itakua vurugu nchini? watu wana followers wangapi huko insta? si kila mtu angechangisha? tuache utoto na upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…