Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Watakuwa wana bifu la mapenzi, misiba tunachangisha, Malisa anachangisha watu kwenda kwenye matibabu mara kwa mara hatujaona akikamatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona misiba tunachangia mara kwa mara?Kuna mambo watu inatakiwa kupunguza kiherehere,
Dingi anapenda vidosho atakuwa kanyima mzigo kaamua kumkomoaPM kani-Pm ngoja nimsikilize kwanza. Naona anataka aniunganishe na NiFa. 😂
Nisubiri hapo hapo nakuja.
Huyo shetani mwambie aniongeze na mimi hapaAnother marked assassin!!
Mkuu wala huhitaji kunilia radar, njoo tuonane face to face!! Uchawa mpaka kwenye maoni ya michango ya maafa ya Niffer!!
Hakika ukungu unaanza kutoweka!!
kwamba Nifter ana kiherehere?Kuna mambo watu inatakiwa kupunguza kiherehere,
Mzee kashimwa penzi kitambo kaona amkomoe binti wa watu, mbona Malisa anachangisha michango mara kwa mara na hakatazwi wala kukamatwa?Weka sheria na kifungu kilichokoukwa ili usiwe shabiki kama mimi
Kwa hiyo misiba tuwe tunaomba michangokwamba Nifter ana kiherehere?
Michango iliyochangwa kule Bukoba ilipelekwa wapi?Hivi inaingia akilini kuwa janga kama hili mtu binafsi ajitokeze na kuanza kuchangisha fedha bila kibali? Huoni kuna uwezekano mkubwa wa fedha kutumika vibaya au hata kupigwa? Vitu vingine tuwe tunatumia common sense. Huoni kuwa watu watatumia loophole kama hizi kutapeli?
Maafa mengine hata mamlaka za juu zinashindwa kutatua,mfano Tetemeki,mafuriko, milima kungoka!Kwenye sheria wametafsiri. Jambo lolote, natural au man made linaloweza kuleta madhara na kusababisha disruption na ambalo linazidi uwezo wa mamlaka za chini kutatua
Huwezi kupindisha sheria kwa sababu unaamini kuwa ile michango haikufika sehemu yake. Hii ni fallacy katika ubora wake.Michango iliyochangwa kule Bukoba ilipelekwa wapi?
By the way, hujajibu swali langu.Huwezi kupindisha sheria kwa sababu unaamini kuwa ile michango haikufika sehemu yake. Hii ni fallacy katika ubora wake.
force majeure hakunaga wa kulaumiwa..!!Maafa mengine hata mamlaka za juu zinashindwa kutatua,mfano Tetemeki,mafuriko, milima kungoka!
Huenda unatoa mwongozo mzuri kwa hawa watoto waliozaliwa nje ya ndoa na kukua vyovyoteNi jambo la kusikitisha na pengine kukera..km mtu anafikia umri km wako au wa niffer lkn hajui maana ya neno ORDER au UTARATIBU kwa vitendo..shule ya kwanza kwa binadamu ni nyumbani kwa wazazi wako, na kati ya wanayokufundisha ni kufuata ORDER, unaambiwa muda wa kulala, muda wa kuamka, muda wa kula nk..na wapo/yupo anayetoa hizo ORDER, ukienda shule hali ni hiyo hiyo..km mtoto wa miaka 3 anaweza kujua na km kuna chochote kipya nje ya utaratibu lazima aulize..mtu mzima anashindwa vipi kukumbuka tunaishi kwa ORDER??? mfano watu 100 wangefanya hivyo alivyofanya kukusanya michango, unadhani nini kinaweza kutokea..unaweza kulist hasara za kufanya hivyo?? lakini moja iko wazi..haitakuwa rahisi kufahamu nani kati ya hao 100 anakusanya michango ya wahanga wa tukio na nani anakusanya kwa kutapeli..!
Tuwe na kumbukumbu, kila kitu/tukio au mambo yanayotokea kwa nadra upo utaratibu wa jinsi ya kufanya..si lazima kuwepo sheria!
WaTz hata hamuelewi, nimesoma comment za baadhi ya watu humu mitandaoni yaani waTz hebu tuache upuuzi na tuelewe sheria[emoji34]Nawaamkua nyote
Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa amechangisha pesa za za kuwahani wahanga wa ajali ya ghorofa. kuna mambo kadhaa ya kuangazia hapa
Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha ambapo si mara ya kwanza kuchangisha na kuwasilisha kwa walengwa?
- Niffer ametoa taarifa ya kuchangisha na kuelezea kiwango alichokikusanya
- Waziri Mkuu ameipokea taarifa ya Niffer kama vile anapokea briefings za kiuchunguzi
- Waziri Mkuu anatoa agizo la kukamatwa na kuhojiwa Niffer ili aeleze nani kamruhusu kuchangisha tarehe 17 Novemba 2024
- Tarehe 18 Novemba 2024, waziri Mkuu anaelekeza polisi wamhoji mmiliki wa jengo lililoanguka. Agizo hilo limekuja baada ya wananchi kuhoji alipo mmiliki wa jengo na kama hajakamatwa tangu siku ya jengo kuanguka.
- Jengo limeanguka ahsubuhi saa tatu halafu Mkuu wa Mkoa na vikosi vya uokozi wanafika eneo la tukio saa nane mchana. Hilo jambo halijamkera Waziri Mkuu
Naomba kufahamu. Ni michango gani ya wahanga iliyolusanywa kupitia serikali na ikawasilishwa kwa walengwa? Nakumbuka michango ya tetemeko la ardhi Kagera ilikusanywa na walengwa hawwkuambulia senti. Vivyo hivyo mafuriko Morogoro wahanga waliishia kusikia redioni michango ambayo haikuwafikia.
Waziri Mkuu atueleze. Matumizi ya fedha za dharurq na majanga chini ya ofisi yake zimetumikqje tangu aingie ofisini?
Kweli ITATUWEKA HURU
Unalichukua kivipi ndugu? I 😁😁😁Nalichukua mkuu
yale madaftari misibani huwa yana mihuri ya wenyeviti wa kitongoji/mtaa/kijiji wachangishe michangoKwa hiyo misiba tuwe tunaomba michango
Malisa anachangisha mara kwa mara huwa anagongewa mhuri na nani?yale madaftari misibani huwa yana mihuri ya wenyeviti wa kitongoji/mtaa/kijiji wachangishe michango