Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa.
Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana.
Hakuna papatu papatu. Mpira unasambazwa. Yanga ikitoa hata draw leo mimi nipigwe ban ya week. Njooni uwanjani msiwe na shaka. Game tumeishaimaliza muda huu sasa narudi kulala tu. Tulikuwa Zanzibar toka jana usiku saa 2.