Njooni Wanayanga tufurahie Ushindi hii Leo. Tunampiga mtu kipigo kibaya. Tukikosa points tatu Nipigwe Ban

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa.

Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana.

Hakuna papatu papatu. Mpira unasambazwa. Yanga ikitoa hata draw leo mimi nipigwe ban ya week. Njooni uwanjani msiwe na shaka. Game tumeishaimaliza muda huu sasa narudi kulala tu. Tulikuwa Zanzibar toka jana usiku saa 2.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupata vichekesho hivi unabonyeza ngapi?
 
Ukimpiga ban Chizi unakuwa chizi mwenyewe!! Chizi ni wa kumpotezea tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ