permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mbumbumbu wote wa Simba wamekimbia comments zao baada ya yaliyotabiriwa kutokea.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwetu chizi maarifa ni shoga aliyekubuhuKikwetu sagai maana yake Makalio. Mnahesabu lakini?
Umejaribu kuiga lakini haijaleta maana. Sababu jina langu linaonekana na maana yake ni rahisi tu SAGAI.Kikwetu chizi maarifa ni shoga aliyekubuhu
🥹🥹 Ona mlivyo machawi!!Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa.
Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana.
Hakuna papatu papatu. Mpira unasambazwa. Yanga ikitoa hata draw leo mimi nipigwe ban ya week. Njooni uwanjani msiwe na shaka. Game tumeishaimaliza muda huu sasa narudi kulala tu. Tulikuwa Zanzibar toka jana usiku saa 2.