44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Mimi kwa upande wangu naweza nikachambua kama ifutavyo:
- Kipindi cha kwanza Al-Hilal waiingia na mpango wa mchezo wa kuilazimisha Yanga icheze mpira wa taratibu, na Yanga waliwezwa sana! Maana kipindi chote walicheza mpira ambao si wao kabisa.
- Kipindi cha pili goli la Al-Hilal iliwachanganya sana mpaka wakapoteana kabisa!
Je, wewe mtalaam wa soka unachambua vipi mechi ili tumsahihishe Yanga aje afanye vizuri kwenye mechi ya marudiano?
NB: Ligi yetu ilishuka sana ubora ndiyo maana tukapata bingwa mbovu, waamuzi wetu walichangia pakubwa sana. Hivi kweli Simba ya misimu minne iliyopta ya akina Miquison, Kagere, Chama na wengineo ilikuwa ya kuja kudhalilishwa hivi?