Njooni wataalam wa soka tuichambue mechi ya Yanga Vs Al- Hilal

Njooni wataalam wa soka tuichambue mechi ya Yanga Vs Al- Hilal

Mim kwa upande wangu naweza nikachambua kama ifutavyo:

- Kipindi cha kwanza Al-Hilal waiingia na mpango wa mchezo wa kuilazimisha Yanga icheze mpira wa taratibu, na Yanga waliwezwa sana! Maana kipindi chote walicheza mpira ambao si wao kabisa.

- Kipindi cha pili goli la Al-Hilal iliwachanganya sana mpaka wakapoteana kabisa!

Je, wewe mtalaam wa soka unachambua vipi mechi ili tumsahihishe Yanga aje afanye vizuri kwenye mechi ya marudiano?

NB: Ligi yetu ilishuka sana ubora ndiyo maana tukapata bingwa mbovu, waamuzi wetu walichangia pakubwa sana. Hivi kweli Simba ya misimu minne iliyopta ya akina Miquison, Kagere, Chama na wengineo ilikuwa ya kuja kudhalilishwa hivi?
Nani kafungwa?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kilicho tugharimu Yanga ni kucheza Kwa tahadhari kubwa na kufanya tusiwashambulie Kwa Kasi iliyo zoeleka, Hali iyo ikawapa nguvu Al Hilal wakacheza Kwa kujiamini sana.
Faida tutakayopata mechi ya marudiano, Tutashambulia full scale nawao watatushambulia Kwa nguvu, mwenye safu Bora ya mashambulizi ataibuka mshindi.
Siioni Yanga ikifungwa kwenye hatua hizi za awali labda kuanzia kwenye Makundi ya Caf champion league.
Makundi gani,? ya ng'ombe?
 
Mim kwa upande wangu naweza nikachambua kama ifutavyo:

- Kipindi cha kwanza Al-Hilal waiingia na mpango wa mchezo wa kuilazimisha Yanga icheze mpira wa taratibu, na Yanga waliwezwa sana! Maana kipindi chote walicheza mpira ambao si wao kabisa.

- Kipindi cha pili goli la Al-Hilal iliwachanganya sana mpaka wakapoteana kabisa!

Je, wewe mtalaam wa soka unachambua vipi mechi ili tumsahihishe Yanga aje afanye vizuri kwenye mechi ya marudiano?

NB: Ligi yetu ilishuka sana ubora ndiyo maana tukapata bingwa mbovu, waamuzi wetu walichangia pakubwa sana. Hivi kweli Simba ya misimu minne iliyopta ya akina Miquison, Kagere, Chama na wengineo ilikuwa ya kuja kudhalilishwa hivi?
Acha wivu wa wana🦁,chubiria uone tunavyo enda mdhlilisha mtu ukweli🤸🤸
 
I think the main causes for Yanga to fail to score many goals is Lack of experience with internation matches, most of Yang"s player they did not get the chance to play with internatioa maches,eg Mayele he usually play with players with low experience!!!
I can conclude that Mayele is a very Weak Striker since in our Plimier ligue he score many goals in wrong way, the refrees they accept this kind of goals due to corruption to be exist in our primier ligue!!!
Andika Kiswahili mjomba, hii lugha Ina wenyewe. Hebu rudia kusoma ulichoandika ndiyo utajuwa kumbe hujui.
 
Yanga waache kuohonga referees wa lig yetu pamoja na team pinzan wacheze kwa uwezo wao binafsi ili waone mapungufu yao lakini wakae wakijua mechi za kirafiki zinafaa kwa maandalizi sio wanajifungia kigambon pia wapunguze midomo wafate sheria za soka
View attachment 2380847

Nb
Asante kwa kushiriki
Huyo mwenye kofia ndo Diara mdaka mishare?[emoji13]
 
I think the main causes for Yanga to fail to score many goals is Lack of experience with internation matches, most of Yang"s player they did not get the chance to play with internatioa maches,eg Mayele he usually play with players with low experience!!!
I can conclude that Mayele is a very Weak Striker since in our Plimier ligue he score many goals in wrong way, the refrees they accept this kind of goals due to corruption to be exist in our primier ligue!!!
Hii ingilishi kama ya Dokta Msukuma Kasheku...[emoji38][emoji38]
 
Hizi hapa...
20221008_182712.jpg
 
Kilicho tugharimu Yanga ni kucheza Kwa tahadhari kubwa na kufanya tusiwashambulie Kwa Kasi iliyo zoeleka, Hali iyo ikawapa nguvu Al Hilal wakacheza Kwa kujiamini sana.

Faida tutakayopata mechi ya marudiano, Tutashambulia full scale nawao watatushambulia Kwa nguvu, mwenye safu Bora ya mashambulizi ataibuka mshindi.

Siioni Yanga ikifungwa kwenye hatua hizi za awali labda kuanzia kwenye Makundi ya Caf champion league.
Unajifariji Sudan mnafungwa
 
Baada ya kupata goli tulitakiwa tubadili aina ya uchezaji kwa kuongeza nguvu kwenye ulinzi.
Substitute ya Faridi na Tuisla haikuwa ya lazima bali angeingia Bakari na kutoka Moloko,kisha Yanick angepanda 6 na Aziz angeenda kulia na Feisal angepanda 10.
Kwa kufanya hivyo tungekuwa na faida ya kuanza kukabia juu.
Mechi za mtoano zinahitaji nidhamu sana katika sehemu zote za uchezaji.
 
Umeandka point Sana mkuu, kocha nae anaonekana hana mbinu na ujanja wa kutosha kweny mech za kimataifa
 
Yanga played very well in both first half and second half but they failed to secure a win for main four things

INTENSITY:– yanga started the game at hingher temper than al hilal while their opponent trying to master yanga game plan by playing long balls to avoid regular attacking while yanga sport club players seems to lose energy and intensity when the games goes on I think yanga they were not sharper when they don't have the ball to recover the open space and reduce gaps between opposition player's also when they retain possession they lack the decisive player to make right decision sure boy deserved to feature today from my point of view.

STRIKING FORCE:– mayele is a top and quality player in Tanzania and east Africa currently no one can argue with that but he lacks the back up striker to create space for him he posses the ball all yanga wingers played in wide area instead of helping him when they have the ball and mayele remains only player in opposition area if you mark mayele no other player can score as mayele does

GOAL KEEPING POSITION:– diarra is quality keeper but he lacks self confidence despite playing well today bu he needs much more time to recover something is not ok in his mind he lacks balls concentration and right decision he needs more Time to improve and rejevunate his previous quality

MARKING OPPONENT:– this is serious problem in yanga squad in football the player who doesn't possess football is more dangerous than the one who possess the balls try to watch the build up of scoring goal for al hilal all players marked the player who possess the ball and only Dickson job was in defensive area he tried to eliminate the ball but no yanga player for giving him the back up and finally al hilal scored equalizing goal.

Despite all all I wish them good luck in the second leg that will be held in Khartoum.
Hii ni plagiarism au ni comment yako!!??
pls acknowledge the source
 
Back
Top Bottom