Njooni wataalam wa soka tuichambue mechi ya Yanga Vs Al- Hilal

Njooni wataalam wa soka tuichambue mechi ya Yanga Vs Al- Hilal

Umeandka point Sana mkuu, kocha nae anaonekana hana mbinu na ujanja wa kutosha kweny mech za kimataifa
Msimu huu tangu tuanze kumchezesha Yanick 5,matatizo yamekuwa mengi sana.
 
Andika Kiswahili mjomba, hii lugha Ina wenyewe. Hebu rudia kusoma ulichoandika ndiyo utajuwa kumbe hujui.
KOLOWIZARD lilishajijua kuwa halijui lolote kuhusu lugha ya Malkia, ndiyomaana limefuta huo ujumbe pumba wa kiingereza [emoji4]
 
Wajiandae tu na confederation Ila washatoka. Confederation mwenyewe waombe wasipangiwe na waarabu.
Mkuu waarabu wa Azam wapo vizuri kweli? Maana naona Azama kachezea za mbavu
 
Back
Top Bottom