Njooni wataalam wa soka tuichambue mechi ya Yanga Vs Al- Hilal

Nani kafungwa?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Makundi gani,? ya ng'ombe?
 
Acha wivu wa wana🦁,chubiria uone tunavyo enda mdhlilisha mtu ukweli🤸🤸
 
Andika Kiswahili mjomba, hii lugha Ina wenyewe. Hebu rudia kusoma ulichoandika ndiyo utajuwa kumbe hujui.
 
Huyo mwenye kofia ndo Diara mdaka mishare?[emoji13]
 
Hii ingilishi kama ya Dokta Msukuma Kasheku...[emoji38][emoji38]
 
Unajifariji Sudan mnafungwa
 
Baada ya kupata goli tulitakiwa tubadili aina ya uchezaji kwa kuongeza nguvu kwenye ulinzi.
Substitute ya Faridi na Tuisla haikuwa ya lazima bali angeingia Bakari na kutoka Moloko,kisha Yanick angepanda 6 na Aziz angeenda kulia na Feisal angepanda 10.
Kwa kufanya hivyo tungekuwa na faida ya kuanza kukabia juu.
Mechi za mtoano zinahitaji nidhamu sana katika sehemu zote za uchezaji.
 
Umeandka point Sana mkuu, kocha nae anaonekana hana mbinu na ujanja wa kutosha kweny mech za kimataifa
 
Hii ni plagiarism au ni comment yako!!??
pls acknowledge the source
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…