Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Teh teh teh eti Viwanja vya Mkoani anafunga balaa. Tunawajua nyie hamtachelewa kumkataa.Mpya huyu mbadala wa Bwalya fundi anafunga balaa
Yaani huyu Bora uwanja wa Taifa maana viwanja vibovu Kama Mkwakwani ndo anafunga kwa sifaView attachment 1131568
Jaja aliwapiga Azam bonge la goal pale Taifa,nikasema huyu atakuwa ana undugu na Juninho Pernambucano.Noma Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ila akiletwa mbrazil (Jaja wa Yanga enzi za Maximo) halitakuwa jambo jipya siyo?
Bora angeiba atamiliki Moja Kwa MojaSasa hapo atakua kaiba nini
Huyu ni beki mkuuMpya huyu mbadala wa Bwalya fundi anafunga balaa
Yaani huyu Bora uwanja wa Taifa maana viwanja vibovu Kama Mkwakwani ndo anafunga kwa sifaView attachment 1131568
Hatujasahau ya Serrunkuma na SerrukambaAliyofanya Mo Leo usipime.View attachment 1132070
Na akimiliki shida ni nini mkuu?Bora angeiba atamiliki Moja Kwa Moja
Timu ya wanachama atamiliki vipi mtu mmoja?Na akimiliki shida ni nini mkuu?
Anatoaje pesa mfukoni kwake? Mbona yeye anatangaza bidhaa zake kupitia jezi ya Simba? Anailipa klab?
Billion 20 zimemshinda kutoa?
Afuate kanuni la sivyo ataishindwa timu
Mmegoma au hamna hela? ila kutwa kijitapa tapa eti level yetu akina Tp mazembe, esperance, zamalek etc
Mo ni mhuni sana kila Siku anawajaza simba upepo mara anataka kumuuza kagere bilion moja mara ana msajiri walter bwalya
Dirisha linakuja kufungwa kawasajili akina juma wilison wa singida pekee mtalia na kusaga meno enyi wajukuu wa bi hindu
Mwaka huu mtakula mliko ipeleka hati ya jengo
Hiyo pesa ipo kwa nani?Hatuwezi kutoa hela kama hyo kwa mchezaji ambaye hata kombe la shirikisho la CAF hajawahi kuchukua.
pesa ipo ila sio ya kuchezea
Hiyo pesa ipo kwa nani?
Sio simba company tena?MOO the big boss
Sio simba company tena?
Kwahyo simba haina hela?sasa simba ina hela gani ya kununua wachezaji? Hana vyanzo vya mapato hamna.
hauoni yanga wanavyohangaika na KUBWA KULIKO.
Wao Wanamdhamini sports pesa na Azam.
Hela zingekuwa zunawatosha wangetembeza bakuli kubwa kuliko?
Kwahyo simba haina hela?
Sawandio. Mwenye hela ni moo.
na ndo maana moo anataka hati za club. Ili ajue club ina Mali gani na zinaendeshwa vipi. Mimi sijui mikataba ya zile fremu kwenye Yale majengo anaingia nani na anapokea nani na hizo hela zinaisaidia vipi timu ya Simba