Nkana wataka mil 800 kwa Bwalya , Simba wagoma

Nkana wataka mil 800 kwa Bwalya , Simba wagoma

Noma Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ila akiletwa mbrazil (Jaja wa Yanga enzi za Maximo) halitakuwa jambo jipya siyo?
Jaja aliwapiga Azam bonge la goal pale Taifa,nikasema huyu atakuwa ana undugu na Juninho Pernambucano.
 
Aliyofanya Mo Leo usipime.
IMG-20190619-WA0069.jpg
 
nkana wanataka umasikini wao uishe kwa siku moja. sijui kwa sababu wanajua MOO Ana hela sanaaa.
Huyo bwalya kawasaidia nini hao nkana?
 
Mbona sports pesa wanatangaza bidhaa zao kwenye JEZI ZA YANGA.
lakini yanga BADO INATEMBEZA BAKULI KUBWA KULIKO?
Anatoaje pesa mfukoni kwake? Mbona yeye anatangaza bidhaa zake kupitia jezi ya Simba? Anailipa klab?
Billion 20 zimemshinda kutoa?

Afuate kanuni la sivyo ataishindwa timu
 
Hatuwezi kutoa hela kama hyo kwa mchezaji ambaye hata kombe la shirikisho la CAF hajawahi kuchukua.
pesa ipo ila sio ya kuchezea
Mmegoma au hamna hela? ila kutwa kijitapa tapa eti level yetu akina Tp mazembe, esperance, zamalek etc
 
Sasa simba Ana shida gani?
Kama wachezaji tunao wazuri.
Nyie na wale watoto mnaosajili mnadhani mtakuja kuchukua kombe lolote?
yanga msimu ujao hata nne bora mtaisaka kwa tochi
Mo ni mhuni sana kila Siku anawajaza simba upepo mara anataka kumuuza kagere bilion moja mara ana msajiri walter bwalya

Dirisha linakuja kufungwa kawasajili akina juma wilison wa singida pekee mtalia na kusaga meno enyi wajukuu wa bi hindu

Mwaka huu mtakula mliko ipeleka hati ya jengo
 
sasa simba ina hela gani ya kununua wachezaji? Hana vyanzo vya mapato hamna.
hauoni yanga wanavyohangaika na KUBWA KULIKO.
Wao Wanamdhamini sports pesa na Azam.
Hela zingekuwa zunawatosha wangetembeza bakuli kubwa kuliko?
Sio simba company tena?
 
sasa simba ina hela gani ya kununua wachezaji? Hana vyanzo vya mapato hamna.
hauoni yanga wanavyohangaika na KUBWA KULIKO.
Wao Wanamdhamini sports pesa na Azam.
Hela zingekuwa zunawatosha wangetembeza bakuli kubwa kuliko?
Kwahyo simba haina hela?
 
ndio. Mwenye hela ni moo.
na ndo maana moo anataka hati za club. Ili ajue club ina Mali gani na zinaendeshwa vipi. Mimi sijui mikataba ya zile fremu kwenye Yale majengo anaingia nani na anapokea nani na hizo hela zinaisaidia vipi timu ya Simba

Sawa
 
Back
Top Bottom