SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ficha aibu yako,huijui CCM.Mashujaa kwa nani yaani CCM iangaike na mmbunge mmoja tu wa CDM wa kuchaguliwa.
Hao ni wahuni tu wanaotumia resources za chama kufanya uhalifu na sijui aliewatuma nani.
Kamwe siasa za kuumizana sio desturi ya CCM.
Njaa iliyochanganyika na msongo wa mawazo ni hatari kuliko bomu la nyukliaWanatumiwa wakawaue ndugu zao na wanakubali..
Watawala washaibemenda mifumo yote ya Elimu,umasikini mbaya sana, dawa yake ni elimu
Mambo ya Mashariki ya kati yanatokea Nkasi ajabu sana sijui tunaenda wapi yaani wajinga wanaona Siasa na Vyeo ni muhimu kuliko uhai wa watu.Njaa iliyochanganyika na msongo wa mawazo ni hatari kuliko bomu la nyuklia
Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais na Amiri Jeshi Mkuu atachukua hatua gani!!??Where are going as a country?
Wana CCM ni uzao wa shetani.Hakuna mwanaccm mwenye aibu
Mara Kwanza kupiga kura na ndio Mara ya Mwisho Ni 2015..huo ni uzushi na uongo wa kiwango cha changarawe gentleman, wala hakuna haja ya kubabaika nao.
muhimu zaidi nenda ukapige kura na urudi nyumbani. Muda ndiyo huu 🐒
Ni wahuni tu wasio na hisani wenye kutumia vibaya nembo ya Samia.
Wamalizane huko huko na warudishe pikipiki zilizo mali za chama, CCM sio chama cha kuumiza watu isipokua ndani yake kuna wahuni kama hawa jamaa waliojipachika.
Huo muda wa kutuma watu kwenda kuumiza wanyonge mwenyekiti wa CCM anautoa wapi,
Siasa ni mchezo mchafu.Hayo mafuta waliyobeba yangekutumika dhidi yao.
Iwe fundisho kwa wwngine kama hao
CCM wanaopiga kura wanatosha sana, na tunasonga mbele kama Taifa,Mara Kwanza kupiga kura na ndio Mara ya Mwisho Ni 2015..
Sina Muda Tena na matukio ya Aina hiyo.
Hao wataachiwa kwa vile Ni makada wa CCM..Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611
Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.
Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
Sisi yetu ni macho tuHao wataachiwa kwa vile Ni makada wa CCM..
Kipindi kile Zitto anachomewa nyumba Ma- CCM yalisema Ni hitilafu ya umeme kumbe Itarahamwe Magufuli alituma green guard kuichoma... CCM kwa sasa ni Al-Shabab, ISS, Boko Haram, Janjaweed, Hezbollah na Hamas kwa pamoja
Hapa ndipo kosa kubwa limefanyika.... ilikuwa ni kumalizana nao polisi waje wachukue kupeleka jengo lingine la serikali sio kuwapeleka polisiPolice wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.