LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mashujaa kwa nani yaani CCM iangaike na mmbunge mmoja tu wa CDM wa kuchaguliwa.

Hao ni wahuni tu wanaotumia resources za chama kufanya uhalifu na sijui aliewatuma nani.

Kamwe siasa za kuumizana sio desturi ya CCM.
Ficha aibu yako,huijui CCM.
 
Pole sana Mhe. Mbunge wa Nkasi. Kwa kweli huyu Mama ni Jembe pale Bungeni.
 
huo ni uzushi na uongo wa kiwango cha changarawe gentleman, wala hakuna haja ya kubabaika nao.

muhimu zaidi nenda ukapige kura na urudi nyumbani. Muda ndiyo huu 🐒
Mara Kwanza kupiga kura na ndio Mara ya Mwisho Ni 2015..
Sina Muda Tena na matukio ya Aina hiyo.
 
Ni wahuni tu wasio na hisani wenye kutumia vibaya nembo ya Samia.

Wamalizane huko huko na warudishe pikipiki zilizo mali za chama, CCM sio chama cha kuumiza watu isipokua ndani yake kuna wahuni kama hawa jamaa waliojipachika.

Hapana ni wanachama wetu waaminifu hadi kukabidhiwa nyenzo za kazi toka kwa Mwenyekiti
 
Mara Kwanza kupiga kura na ndio Mara ya Mwisho Ni 2015..
Sina Muda Tena na matukio ya Aina hiyo.
CCM wanaopiga kura wanatosha sana, na tunasonga mbele kama Taifa,

hata hivyo,
walisusa chama kizima sembuse wewe kamoja tu gentleman?🐒
 
Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611

Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.

Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
Hao wataachiwa kwa vile Ni makada wa CCM..
Kipindi kile Zitto anachomewa nyumba Ma- CCM yalisema Ni hitilafu ya umeme kumbe Itarahamwe Magufuli alituma green guard kuichoma... CCM kwa sasa ni Al-Shabab, ISS, Boko Haram, Janjaweed, Hezbollah na Hamas kwa pamoja
 
Sisi yetu ni macho tu
 
Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.
Hapa ndipo kosa kubwa limefanyika.... ilikuwa ni kumalizana nao polisi waje wachukue kupeleka jengo lingine la serikali sio kuwapeleka polisi
 
Wamekosea sana...wangemalizana nao tu police waje wachukue miili.....
 
Back
Top Bottom