LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni wahuni tu wasio na hisani wenye kutumia vibaya nembo ya Samia.

Wamalizane huko huko na warudishe pikipiki zilizo mali za chama, CCM sio chama cha kuumiza watu isipokua ndani yake kuna wahuni kama hawa jamaa waliojipachika.
Wangefanikisha mpango wao wasipewa sifa mbaya hivyo wangeonekana km mashujaa wa chama
 
Ni wahuni tu wasio na hisani wenye kutumia vibaya nembo ya Samia.

Wamalizane huko huko na warudishe pikipiki zilizo mali za chama, CCM sio chama cha kuumiza watu isipokua ndani yake kuna wahuni kama hawa jamaa waliojipachika.
😆😆😆 CCM haiumizi watu? bila shaka wewe ni mgeni
 
Back
Top Bottom