LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umeandika nini hapo au wewe ndio ulipewa order hio ukaisogeza kwa vijana hao?
CCM haiwezi angaika na mmbunge mmoja wa CDM what’s the motive kipindi hiki cha uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kama uchaguzi mkuu hayo ni mambo ya mwakani, hata kama ni figusu za kuchukua jimbo hizo mbinu hazina uhusiano na kuchomeana nyumba.

Aina maana hakuna sabotages ndani ya CCM wenye kutaka kumchafua mwenyekiti kwa nia zao ovyu, wakishirikiana na CDM,

Huyu dada ajiongezee ulinzi kuna watu wanaweza chukua maisha yake kwa sababu ya kumchafua Samia tu na team kubwa ya wapumbavu ya kusambaza uongo.
 
Wewe ni mjumbe wa Shina gani hapo mtaani kwenu?
 
Back
Top Bottom