LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mashujaa kwa nani yaani CCM iangaike na mmbunge mmoja tu wa CDM wa kuchaguliwa.

Hao ni wahuni tu wanaotumia resources za chama kufanya uhalifu na sijui aliewatuma nani.

Kamwe siasa za kuumizana sio desturi ya CCM.
Wahuni sababu hawajafanikisha jambo lenu wangefanikiwa kuchoma mngewaita mashujaa na story zisingekua hizo unazoziweka humu unawaita Wahuni ila aliewatuma hakuwaona Wahuni kibaya zaidi kawagea na pikipiki ya chama waitumie kwenye kufanya uhalifu km huo hapo unachomoaje?
 
Mungu atunusuru na balaa linalolazimishwa na ccm,kwani ccm wanaona raha gani kung'ang'ania madaraka kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia?
Rais Samia jiepushe na dhuluma dhidi ya binadamu wenzako,sasa hivi una miaka zaidi ya 60 unafikiri utaipata tena miaka kama hiyo ya kuishi hapa duniani? Tumia vyema umri wako uliobaki duniani kwa kumcha Mola wako,achana na watenda maovu una uwezo wa kuishi vizuri hata bila madaraka ya kidunia.
 
Back
Top Bottom