LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Akifunguliwa iyo kesi nachoma vyeti vyangu kuanzia Cha kuzaliwa,,ubatizo ,kipa imara, Cha darasa la sana,form 4 ,form 6, degree,mpka vyeti vya clab kama mali hai,PCCB, yaan vyeti vyote
huamini kuwa itatokea hivyo?
 
Hivi vyeo vya DC na RC vifutwe. Inakuaje RC anahangaika na mambo ya siasa.
 
Murder na intention to murder vina tofauti?
Kosa la hao ni kujaribu kuchoma nyumba moto na siyo kuua wala kujaribu kuua na hata kesi itafunguliwa hiyo kujaribu kuchoma makazi, Kujaribu kuchoma moto makazi na kuchoma makazi ni makosa mawili tofauti na hukumu zake ni tofauti moja hukumu yake ni kifungo cha maisha nyingine ni kifungo cha miaka 14 jela.
Kasome Sect 319&320 cap 16 R.E 2022
 
Legally mtuhumiwa si anaweza kushtakiwa kwa kuonyesha nia ya kutaka kufanya uovu?
 
Mkuu nyumba ikiwa inachomwa ikiwa na watu ndani nadhani kesi itakua tofauti brother...
 
Legally mtuhumiwa si anaweza kushtakiwa kwa kuonyesha nia ya kutaka kufanya uovu?
Ndiyo anashtakiwa ndo maana nikasema hao watashtakiwa kwa kosa la Kujaribu kuchoma makazi
 
Nafeli kuona inaposema ni bailable offense.

Ndiyo anashtakiwa ndo maana nikasema hao watashtakiwa kwa kosa la Kujaribu kuchoma makazi
Ikiwa itaweza kua proved strength of the guilty (attempt to set a house on fire huku ndani kuna watu) hii ni bailable?
 
Ikiwa itaweza kua proved strength of the guilty (attempt to set a house on fire huku ndani kuna watu) hii ni bailable?
Kujaribu kuchoma nyumba moto ina dhamana
 
Kujaribu kuchoma nyumba moto ina dhamana
Anyway, mimi siyo mwanasheria. Kozi ilikua na viwili vitatu tu kuhusu sheria so kama wewe ni mwanasheria utakua unajua zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…