Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.
He is Far better for Tanzania. ASANTE.View attachment 3054487
Kwa sifa hizi tushajua atakuwa mgombea wa mrengo GaniNimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.
He is Far better for Tanzania. ASANTE.View attachment 3054487
Si kweli..tatizo nchi hii usipokuwa mwana-ccm utaishi kama raia wa daraja la chini.
nenda dom ukampigie kuraNimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.
He is Far better for Tanzania. ASANTE.View attachment 3054487
TLS siyo chama cha ukombozi. Vyama vya ukombozi vilikuwa FRELIMO, SWAPO, TANU, ANC etc.Kwa sifa hizi tushajua atakuwa mgombea wa mrengo Gani
Hatufai katika harakati za ukombozi
Wacha aendelee kutetea mfumo
Tukiisha kuikomboa nchi naye atakula matunda
Yuko smart.Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.
He is Far better for Tanzania. ASANTE.View attachment 3054487
Pamoja namkubali boniface kama mwanaharakati mzalendo naona angetafuta platform nyingine kufanya siasa. Chama cha sheria tanzania TLS ni chama cha kitaaluma haifai kukitumia kuendesha harakati za kisiasa. Tuliona lissu na baadae fatma karume wakileta fujo na kuhatarisha mstakabali wa TLS.Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.
He is Far better for Tanzania. ASANTE.View attachment 3054487
Hapo mkuu @kmbumeliweka vizuriPamoja namkubali boniface kama mwanaharakati mzalendo naona angetafuta platform nyingine kufanya siasa. Chama cha sheria tanzania TLS ni chama cha kitaaluma haifai kukitimia kuendesha harakati za kisiasa. Tuliona lissu na baadae fatma karume wakileta fujo na kuhatarisha mstakabali wa TLS.
Smart wapi? Takataka wa ccm huyuYuko smart.
Kabla ya hao uliowataja kulikuwa na point za watu wa aina gani mkuu?.Point,zama za wapigania uhuru akina Jpm,Makonda,Lissu,Mwambukusi zimepitwa na wakati
UmeongeaPamoja namkubali boniface kama mwanaharakati mzalendo naona angetafuta platform nyingine kufanya siasa. Chama cha sheria tanzania TLS ni chama cha kitaaluma haifai kukitumia kuendesha harakati za kisiasa. Tuliona lissu na baadae fatma karume wakileta fujo na kuhatarisha mstakabali wa TLS.
Tatizo ni CCM huwa wakichaguliwa akili zote zinaishaNimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.