Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.

Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.

Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.

He is Far better for Tanzania. ASANTE.

GRv23BMaAAA50fx.jpg_large.jpg
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.
He is Far better for Tanzania. ASANTE.View attachment 3054487

..tatizo nchi hii usipokuwa mwana-ccm utaishi kama raia wa daraja la chini.
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.
He is Far better for Tanzania. ASANTE.View attachment 3054487
Kwa sifa hizi tushajua atakuwa mgombea wa mrengo Gani

Hatufai katika harakati za ukombozi
Wacha aendelee kutetea mfumo
Tukiisha kuikomboa nchi naye atakula matunda
 
nenda dom ukampigie kura
 
Point,zama za wapigania uhuru akina Jpm,Makonda,Lissu,Mwambukusi zimepitwa na wakati
 
Tatizo lake anaitumikia chama ccm hawezi kuwa kiongozi bora Tls ni bora kabendera
 
Kwa sifa hizi tushajua atakuwa mgombea wa mrengo Gani

Hatufai katika harakati za ukombozi
Wacha aendelee kutetea mfumo
Tukiisha kuikomboa nchi naye atakula matunda
TLS siyo chama cha ukombozi. Vyama vya ukombozi vilikuwa FRELIMO, SWAPO, TANU, ANC etc.

Vote for Sweetbert Mkuba

20240728_072414.jpg
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.
He is Far better for Tanzania. ASANTE.View attachment 3054487
Yuko smart.
 
Pamoja namkubali boniface kama mwanaharakati mzalendo naona angetafuta platform nyingine kufanya siasa. Chama cha sheria tanzania TLS ni chama cha kitaaluma haifai kukitumia kuendesha harakati za kisiasa. Tuliona lissu na baadae fatma karume wakileta fujo na kuhatarisha mstakabali wa TLS.
 
Pamoja namkubali boniface kama mwanaharakati mzalendo naona angetafuta platform nyingine kufanya siasa. Chama cha sheria tanzania TLS ni chama cha kitaaluma haifai kukitimia kuendesha harakati za kisiasa. Tuliona lissu na baadae fatma karume wakileta fujo na kuhatarisha mstakabali wa TLS.
Hapo mkuu @kmbumeliweka vizuri
 
boniface mwabukusi anafaa na ndie atashinda, ila huyu mshikaji nae nimemuon he is so smart!
 
Point,zama za wapigania uhuru akina Jpm,Makonda,Lissu,Mwambukusi zimepitwa na wakati
Kabla ya hao uliowataja kulikuwa na point za watu wa aina gani mkuu?.

Tu wepesi sana kusahau na tu wepesi sana kuvuna pasipo kupanda!.
 
Na Mimi nimfuatilia nimeona Yuko vizuri upstairs, ni mtulivu na makini. upinzani mkubwa utakuwa kati ya huyu mwamba na Bonifas Mwabukusi. Wengine kina kabendera na wenzake ni wasindikizaji.
Binafsi Nampa kura Mwabukusi. Siyo kondoo hivyo Ataleta changamoto Kwa serikali na watawala.
 
Pamoja namkubali boniface kama mwanaharakati mzalendo naona angetafuta platform nyingine kufanya siasa. Chama cha sheria tanzania TLS ni chama cha kitaaluma haifai kukitumia kuendesha harakati za kisiasa. Tuliona lissu na baadae fatma karume wakileta fujo na kuhatarisha mstakabali wa TLS.
Umeongea
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.
He is Far better for Tanzania. ASANTE.View attachment 3054487
Tatizo ni CCM huwa wakichaguliwa akili zote zinaisha
 
Back
Top Bottom