NMB Bank huu upuuzi siutaki

NMB Bank huu upuuzi siutaki

Kwa ambaye hakijawahi mkuta atabishana.
CRDB nilinunua salio la elf 30 na Simbanking. Hela ikapungua na salio katika simu halikufika

Kwenda Bank wakanambia nisubiri masaa 24. Within masaa 24 itarudi
Imagine sasa na hela ni zako.
 
Utetezi wao watakwambia system iko down"kwahiyo Mimi ni fundi?system yenu hainihusu nataka Hela Sasa hvi?Haya mambo hapo Kenya tu wametupiga gepu sana
 
Kwa ambaye hakijawahi mkuta atabishana.
CRDB nilinunua salio la elf 30 na Simbanking. Hela ikapungua na salio katika simu halikufika

Kwenda Bank wakanambia nisubiri masaa 24. Within masaa 24 itarudi
Hii mbona ni kitu cha kawauda, sijaona shida hapo.
 
Yeye Yuko Exim
Kutuma pesa kutoka benki moja kwenda benki nyingine kwa njia ya SIM BANKING ni changamoto sana, pesa inaweza ikafika ama ikarudi.

Ilishanitokea kama Mara 3 kwa muda tofauti.

Mara nyingi kama mtu ana account ya benki nayotumia uwa namtumia kutoka kwenye akaunti yangu ya benki kwenda kwenye akaunti yake la sivyo basi nitumtumie kwenye simu kana yuko mbali ama nichukue cash benki nimpatie.
 
2hrs kuanzia muda aliokutumia au zaidi.
Nilishawahi kutumiwa pesa kutoka benki nyingine kuanzia saa sita mchana ikaingia saa kumi na mbili jioni, na sio mara moja.
Sasa hii ni shida. Next time sitaki tena
 
Back
Top Bottom