Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine sasa na hela ni zako.Kwa ambaye hakijawahi mkuta atabishana.
CRDB nilinunua salio la elf 30 na Simbanking. Hela ikapungua na salio katika simu halikufika
Kwenda Bank wakanambia nisubiri masaa 24. Within masaa 24 itarudi
hahahahaSema vizuri na mkeo
Bank kabisa au kupitia wakala?Mke wangu kanitumia pesa haijaingia
Labda TISS, TAT yake ndio 2 hoursNimejiuliza, NMB ukatume hela, wakwambie eti, ataipata baada ya baada ya masaa 2, mwenzio anamnywesha chai yeye hajastuka.
Nyote mna akaunti bank hio hio? Kama bank tofauti ndio inachkua 2 hrs or moreMke wangu kanitumia pesa haijaingia
Leo ndio mwisho kutumallNgoja nimalizane na hili halafu niachane nao
Whatever the case nasubiri pesaBank kabisa au kupitia wakala?
Kutoka EximLabda kama amekutumia kutokea benki nyingine tofaut na Nmb.
Yeye Yuko EximNyote mna akaunti bank hio hio? Kama bank tofauti ndio inachkua 2 hrs or more
Hii mbona ni kitu cha kawauda, sijaona shida hapo.Kwa ambaye hakijawahi mkuta atabishana.
CRDB nilinunua salio la elf 30 na Simbanking. Hela ikapungua na salio katika simu halikufika
Kwenda Bank wakanambia nisubiri masaa 24. Within masaa 24 itarudi
Hapo ni sawa mkuu, tena unaweza kusubiri more than 2hrs.Leo ndio mwisho kutumall
Whatever the case nasubiri pesa
Kutoka Exim
2 hrs za masaa ya kazi au?Hapo ni sawa mkuu, tena unaweza kusubiri more than 2hrs.
2hrs kuanzia muda aliokutumia au zaidi.2 hrs za masaa ya kazi au?
Nitaipat leo??Hii mbona ni kitu cha kawauda, sijaona shida hapo.
Kutuma pesa kutoka benki moja kwenda benki nyingine kwa njia ya SIM BANKING ni changamoto sana, pesa inaweza ikafika ama ikarudi.Yeye Yuko Exim
Sasa hii ni shida. Next time sitaki tena2hrs kuanzia muda aliokutumia au zaidi.
Nilishawahi kutumiwa pesa kutoka benki nyingine kuanzia saa sita mchana ikaingia saa kumi na mbili jioni, na sio mara moja.
Huku juu naona watu wanagoma. Kwamba ni kitu haiwezekani 😂Hii mbona ni kitu cha kawauda, sijaona shida hapo.