mika micah
Senior Member
- Dec 25, 2015
- 183
- 277
Kama wapo nisaidieni kuwatag.
Nilikuwa na 250k kwenye account yangu jana saa 9 nikatoa 50k kwa wakala. Leo kuangalia salio nimebakiwa ba 89k.
Nimepiga simu namba yao huduma niliyopata sijalizika kabisa. Kuna haja ya kuwapa training wahudumu wenu on how to troubleshoot issue na kudili na wateja.
Nimemuelezea scenario.
Akasema nimetoa laki na nusu kwa wakala saa 9. Nikamwambia mhamala nao ukumbuka ni wa 50k. akanijibu kuna mtu atakuwa ana credentials zako ametoa. Nikamwambia Card ninayo mimi mda wote akanijibu system inaonyesha umetoa laki na nusu.
Nikwauliza wapi naweza kupata msaada zaidi akanijibu hakuna msaada zaidi ya huu utakaopata maana system inaonyesha umetoa kwa wakala. Nikawambia sawa nimetoa laki na nusu kwa nini mmenitumia sms ya kutoa 50k sioni message ya 100k nyingine.
Akaniambia ni shida ya mtandao ndio maana hujapata message. Nikamuuliza kila siku napokea message hii. Huu muhamala ambao sijaona message ndio usionekane Hauoni its something strange.
Akanikatia simu.
Mytake:
1. Ni vyema kumwambia mteja unafuatilia kuliko kumjibu as if he is careless and dumb enough to share credentials with other people even if he is.
2. Don't blindly trust the systems zinatengenezwa na wanadamu na zina bugs kama zote. And possibly mawakala wamepata workaround ya kuwaibia wateja wenu so badala ya kujibu juu juu kwamba system inaonyesha jaribu kutafuta root cause of the problem.
3. Jaribuni kuwapa training customer care wenu. On how to deal with customer and troubleshoot issues. Sio mambo ya system inaonyesha! system inaonyesha!
4. Ukiweza usitumie NMB wakala kutoa pesa zako. Nimewahi kusikia lalamiko kama hili mahali kwingine kwamba mtandao ulikuwa unasumbua wakala akajaribu maraka ya kwanza mara ya pili mara ya tatu zote zinagoma. Jamaa kuja kuangalia kesho yake hela ndefu imeenda.
5. Yule dada aliye leo customer service mfukuzeni kazi kwa haraka. Anafanya hii kazi kwa kulazimishwa.
6. Huenda wengi wanakutana na hii kadhia ila huwa hawanotice kutakana na frequency ya kutumia huduma za kibank ni ndogo.
7. Pesa yangu is ipo rudi. Bora nikakatwe na CRDB.
Wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,