NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

Kama wapo nisaidieni kuwatag.

Nilikuwa na 250k kwenye account yangu jana saa 9 nikatoa 50k kwa wakala. Leo kuangalia salio nimebakiwa ba 89k.



Wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Ndio maana mm sitoi pesa kwa wakala na wala sifukirii kuja kufanya hivyo.

Mifumo ya NMB ni outdated sana. Kila siku kadi za watu zinamezwa na ATM mashines, jambo ambalo huwezi kulisikikwenye benki nyingine.

Au kuna wakati unatoa pesa kwenye ATM muanala unashibdikana lakini pesa yako inakarwa. Inawezekana hiki ndicho kilichokupata mkuu. Pole sana kwa kupiteza chekeli zako.
 
Pole sana mdau,jaribu ku-check pia kupitia app yao omba mini statement tizama miamala yako ya jana itaweza ikakupa mwanga zaidi.

Jana nilitoa kiasi cha pesa ATM zikaja msg mbili kwamba nimetoa pesa nikajisemea isije kuwa jamaa aliyeingia baada yangu ali-trace password yangu nae akatoa hiyo app ikawa ndiyo msaada wangu wa kwanza.
 
P
Noted boss... ngoja niamke nao asubuhi
Chukua Bank statement online (Kwa kutumia NMB app) au katika tawi la benki. Nenda Kwa wakala uliyetoa Pesa kwake kisha mueleze kila kitu Kwa kutumia Bank statement hiyo.
Akizingua kamshtaki Bank (Kwa kuwa wao ndiyo wamemsajili), inamaana ni wakala tapeli.
Hiyo michezo ipo sana Kwa mawakala.
 
Niliwah kuzungushwa week nzima na Afisa mikopo wa NMB

Nikawachek HQ kupitia email address hii tuambie@nmbbank.co.tz Mambo yakawa saaafi ndani ya masaa 6 Tu.
Hili tatizo ni kama langu lkn mm niliingia fb kwenye page Yao nikawaka hatari wakalitatua tatzo langu mapema. Lkn kwenye tawi ilkuwa ni blaa blaa tu.
 
4. Ukiweza usitumie NMB wakala kutoa pesa zako. Nimewahi kusikia lalamiko kama hili mahali kwingine kwamba mtandao ulikuwa unasumbua wakala akajaribu maraka ya kwanza mara ya pili mara ya tatu zote zinagoma. Jamaa kuja kuangalia kesho yake hela ndefu imeenda.
Huu usenge NMB wanaufanya Sana tena Sana na Muda wanafanya hivi NMB Wakala ni Kipengele hata Mimi yamenikuta haya ukijaribu kutoa wanafyeka zaidi ya kile alichotoa alafu hizi Jaribu goma Jaribu goma washenzi wanakata kishenzi wakiona huna wanaweka Deni ukiweka Pesa wanafyeka NMB wasengekisenge
 
Aliyekuibia ni wakala huu mchezo upo sana kwao
Cha kufanya nenda bank kaombe statement
Inaonesha kila kitu utamkamata mwizi wako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wakala ataiba km atakua na kadi ya mhusika Ila kadi ikichomolewa anaibaje? NMB ndio wanaofanya huo usenge SIO Wakala NMB Wakala ukiweka hela utafurahia magoli ukitoa ikagoma ukatoa ikagoma ukatoa ikagoma m'mae subiria magoli unajikuta umepigwa parefu HUU ni usengekisenge
 
Wakala ataiba km atakua na kadi ya mhusika Ila kadi ikichomolewa anaibaje? NMB ndio wanaofanya huo usenge SIO Wakala NMB Wakala ukiweka hela utafurahia magoli ukitoa ikagoma ukatoa ikagoma ukatoa ikagoma m'mae subiria magoli unajikuta umepigwa parefu HUU ni usengekisenge
Dawa ni kuchukua bank statement inaonesha kila kitu
Hii mambo nmeshuhudia kwa macho yangu huu mchezo naujua vzr

Wakala wanafanya hivo wakijua watu ni wazembe hawataenda kuchukua statement au kuangalia salio

Technic wanayotumia anakuambia mtandao unasumbua ingiza tena namba ya siri hapo ndiyo unaibiwa sasa

Hizi ni siri za wezi bora tuweke hapa waache hii michezo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom