NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

Sasa mtu anakua na haraka na shughuli zake ndio maana Mimi Mawakala siwahamini kabisa tena Muda hili TATIZO nimeliona Jamaa wanaiba kishenzi kuna Mama namuheshimu siku ndio niligundua kabiia nikajiuliza Mama hadi wewe unaniibia Mimi kisa umekalia kiti cha NMB Wakala unaniibia Pesa zangu unajihamishia mwenyewe sababu wewe ni Wakala wa NMB kweli?
 
Sawa ndugu mteja.Ila,umeandika kama upo high in the skyway!😂😂😂
 
Hapo kwenye haraka ndiyo wanapapenda sasa
Ukiona mtu ameibiwa ana vitu vitatu
1. Uzembe
2. Tamaa
3. Haraka

Ukiwa na hizo sifa lazima upigwe na kit kizito utosin
Ukafie mbele huko mjini shule
Kila mtu anataka kulamba asali wewe hupendi kulamba asali?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukichukua statement angalia tarehe na muda pesa imetoka na sehemu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mawakala wanatuumiza sana alafu mwingine anakuibia huku anakupa na tabasamu kabisa, Mimi sijui hayo makitu ya ku-mute notifications sijui nini wao ndio wanajua kucheza na kile kimkebe Bora mara 800 uende ATM Ila ATM pia ukijichanganya unapigwa vile vile
 
SIO kwa kuiba sasa wengine ni wamama Mawakala wa NMB tunawaheshimu kabisa wanatubia ili IWEJE? Bora vijana tutasema ndio tabia zao sasa hawa wamama tusemeje? Mama kakomaa weka tena password hii imekataa ukiweka utasikia weka tena password hii imekataa kumbe anakuibia KWANINI wanafanya HIVYO?
 
Kwan mama hawana njaa,
Hawapendi kula bata
Hawatak vitu vizur

Mbona wakiwaibia kwa kuwapa papuchino hampigi kelele?
Kila mtu anapenda kulamba asali mzee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
No ATM hakuna huo ujinga
Ndiyo the best way ya kutoa pesa
Pamenyooka kama rula

Hawa wamama NDIO tunawaonea huruma Mimi siku nikimtaitisha anaiba Si nitamgongea mulemule kibandani kupozea machungu yangu, sipendi UJINGA
 
Kuchekesha SIO kitu cha kulamisha yaan huwezi kumlazimisha mtu acheke hata ukijichekesha km hataki kucheka na wewe
Unamaanisha nini ndugu?Umeandika kama you got grudges unto someone.Funguka usiogope.Hatujawahi kuonana uso kwa macho.
 
No ATM hakuna huo ujinga
Ndiyo the best way ya kutoa pesa
Pamenyooka kama rula

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
NDIO Ila kuna KIASI kikibaki NMB wanapita nacho HII nimeshuhudia mara nyingi sana nikajiuliza au ni makato SIELEWI Pesa inaenda Wapi risti inasoma una kiasi fulani kimebakia ukienda kutoa tena unaambiwa huwezi kutoa kiasi fulani wakati unajua kabisa kuna kiasi fulani unatoa kiasi cha CHINI zaidi ndio inakubari Ila pia HAPO wanapitisha panga lingine la juu kwa juu
 
Unamaanisha nini ndugu?Umeandika kama you got grudges unto someone.Funguka usiogope.Hatujawahi kuonana uso kwa macho.
Nimesema kuchekesha ni KITU KIPO TU yaan hutumii nguvu kukifanya wala hulamishi mtu kucheka Ila inakuja tu automatically kuendana na mazingira watu wanacheka Ila hauwezi ukawalazimisha watu kucheka hata ufanyaje
 
Kwa hiyo mswaada upelekwe bungeni au umechukia?
 
Kwa hiyo mswaada upelekwe bungeni au umechukia?
MIMI katika kitu nakichunga ni Mdomo wangu na ulimi wangu sababu Mdomo wangu ukifunguka kipindi nimechukia hua natema MOTO hili suala nimeshaambiwa sana na watu kwamba bwana wewe ukichukia hua unatema MOTO vibaya sana, kwa hio SITAKI nikumwagie MOTO
 
Basi hawajakuambia vizuri.Una hasira za kike.Yaani kama umevaa kitambaa.
 
Njoo inbox na details za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…