NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

Komaa Mzee pesa inarudi hiyo kwani wewe si unajua wakala uliyetoa na hata wao nmb wanaweza kukutajia hiyo laki unusu imetokea kwa wakala gani kampe mbasi aseme Kwa Nini anatoa pesa zako nyingii alafu anakupa chache nyingine anapeleka wapi ?
Nilikuwa bank leo kuna wakala kaja anakesi kaletewa na mteja mteja anadai hela imetoka double wakala imebidi aje bank kuconfirm kufika kaambiwa kweli hela imetoka double ikabidi aseme inamaana lile tatizo la hela kutoka kwenye akaunti ya mteja bila kuweka namba ya siri limerudi tena muhudumu anacheka cheka tu.
 
Hakuna mahali salama
Kwanza kwa majibu yao utajua ni makanjanja
Nilitaka kusema sijui tukaweke hela polisi nikajicheka
 
Najifunza zaidi kwakuwa NMB wamenipiga sanaaaaaaa dawa kuhama
 
Kachukue statement itaonesha kila kitu!
 
Yaani bora utoe ela kwa ATM ya bank nyingine, makato kwa wakala watakutoa mkojo mpaka mavi
 
Mdada ama wadada wanapewa kazi kwa hisani ya wakubwa ama analiwa , ni ngumu ukute mdada kauzu sura ya baba yake akapewa kazi nzuri ya maslahi mazuri otherwise iwe kazi ya ubongo mkubwa tu na ukute huyo dada ndio anao huo ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…