Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 772
- 2,421
NMB kuangalia salio sio free bwashee..kuna kama 300+ inatokomea paleMobile App naitumia:
(1) Kuangalia Salio (Free)
(2) Statement (Mia 5)
(3) Kununua salio la simu (Free)
Vingine nitaenda ATM aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NMB kuangalia salio sio free bwashee..kuna kama 300+ inatokomea paleMobile App naitumia:
(1) Kuangalia Salio (Free)
(2) Statement (Mia 5)
(3) Kununua salio la simu (Free)
Vingine nitaenda ATM aisee.
Hawa jamaa huwa sitaki hata kuwasikiaHamia CRDB huta juta ndugu
Wameboresha mkuu jaribu uoneHawa jamaa huwa sitaki hata kuwasikia
Nadhani kadi yangu ishakuwa blocked tayari...labda siku moja nitawarudiaWameboresha mkuu jaribu uone
Kila ubunifu hufanyika kwa lengo la kumnufaisha mmiliki, wewe furahia urahisi wa huduma ila usichoke kulipia.
Huta juta wameboresha app pia gharma za viwango vya kutoa ni kama kwenye ATM, ukienda Bankhakuna haja ya kujaza slip unatoa hata 20m kwa njia ya app.Nadhani kadi yangu ishakuwa blocked tayari...labda siku moja nitawarudia
😂😂😂Anayelalamikia dhuluma hizi ni tajiri, hivyo isihusishwe na hila zozote kupoteza lengo.
Hta kununua salio wanakata angalia vizuriMobile App naitumia:
(1) Kuangalia Salio (Free)
(2) Statement (Mia 5)
(3) Kununua salio la simu (Free)
Vingine nitaenda ATM aisee.
Hta kununua salio wanakata angalia vizuri
Who told you CRDB ni free? Tena CRDB app, ni ghali sana, ukitoa tu hela wanakata 5+ kuangalia salio 300 kwa CRDB ATMs na kuanglia salio kwa Simbanking ni 399Mkuu n
A CRDB salio ni free
Mkuu sidhani! Kwa mfano kama huna salio la kutosha mara nyingi ukiomba salio hawakupi mrejesho.Sijui kama ni kwangu tu.Mkuu na CRDB salio ni free
Unachotakiwa ni kutoa kiasi kikubwa kadiri inavyowezekana! Kwa mfano CRDB kama sikosei wanakata kitu kinachoitwa storage charge kila unapokwenda kudraw.